kubadilishana

  1. Hamis Zmc

    Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane. 07583886618
  2. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  3. Webabu

    Hamas wasema hakuna kusitisha vita kwa kubadilishana mateka. Wanachotaka ni vita visimame kuwaachia mateka

    Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao. Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na...
  4. matunduizi

    Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

    Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates. Muachane na vijiwe vya betting. Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
  5. Webabu

    Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  6. Ritz

    Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  7. S

    Uhamisho wa kubadilishana (Walimu wa sekondari)

    Mwalimu wa sekondari unaefundisha masomo ya arts, unayehitaji kuhamai Dodoma jiji kutoka moja kati ya maeneo haya: *DSM-Temeke, * Kibaha mji * Mkuranga Tuwasiliane 👇👇kuna mwalimu yupo Dodoma jiji, anatafuta wa kubadilishana nae. Contact: 0789-65-62-65
  8. T

    Kubadilishana kituo cha kazi kada ya afya

    Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo Cha kazi. Yeye aje ileje(Itumba hospitali ya wilaya ) mkoani Songwe. Mimi niende Buchosa Sengerema au Nzera ya Geita. Idara ya afya(C/O).
  9. DR HAYA LAND

    Mabadiliko ya Elimu sijaona Serikali ilichokusudia kubadilisha

    Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa. Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tanzania na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani. So...
  10. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  11. Tman Clever

    Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  12. J

    NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem SIMU: 0623450048/ 0746443601
  13. MK254

    Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

    Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki..... Aprisoner exchange between Russia and Ukraine that included senior Ukrainian commanders was hailed as a victory by...
  14. A

    Uhamisho wa kubadilishana

    Habari wana JF. Mimi ni mtumishi wa umma Mteknolojia maabara msaidizi niliepo Mtwara DC naomba kubadilishana na mtumishi alieko tayari kutoka halmashauri ya Chalinze. 0656797325 Naomba ushirikiano wenu wakuu
  15. David Lanta

    KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

    Kwa niaba; NATAFUTA MWL WA KUJA KIGOMA MJINI,MIMI NIKO SEKONDARI YA KATUBUKA, NATAKA NIENDE KASULU MJINI. Idara:SEKONDARI. Masomo:HKL
  16. David Lanta

    KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

    Habari; NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE MWANZA MJINI, MISUNGWI MJINI AU SENGEREMA MJINI. IDARA: ELIMU SEKONDARI. MASOMO: NI HISTORY,ENGLISH NA KISWAHILI
  17. The Supreme Conqueror

    UHAMISHO NA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

    Ninatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi aje Rufiji ni nije Manispaa yoyote ya Dar es salaam idara Elimu Msingi.
  18. Greatest Of All Time

    Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

    Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
  19. JanguKamaJangu

    Urusi ipo tayari kubadilishana wafungwa na Marekani

    Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
  20. U

    KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI. Mimi naitwa Eliud Ndewirwa Pallangyo. Ni mwalimu katka mkoa wa mwanza (Nansio) natafuta mtu wakubadilisha nae kituo nie

    Mimi naitwa Mwl.ELIUD Ndewirwa Pallangyo. Tsc no yangu ni N.40925 nipo idara elimu secondary (nipo Mwanza Nansio) ninaomba kupata mtu wakubadilishana nae kituo au sehem ninayo fanya kazi mimi niende mkoa mmoja wapo kati ya iyo hapo. 1 Dodoma 2.Arusha 3.manyara 4.pwani 5.Tanga 6.morogoro...
Back
Top Bottom