Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

Vladivostok

JF-Expert Member
May 15, 2022
288
1,319
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.
 
Attachments

  • IMG_20230823_115834.jpg
    IMG_20230823_115834.jpg
    49.6 KB · Views: 11
Kupanda na kushuka ni sehemu ya ukuwaji wa uchumi, kupanda kunako zidi kawaida anaeumia ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi mbangaizaji anaejikomboa walao awe na makazi yenye nafuu.
hitaji la msingi la maisha ya binadamu ama kiumbe yoyote pamoja na chakula mavazi na makazi, unapomuwekea ugumu wa kupata makazi ni Sawa na kuondoa ile haki yake ya kuishi.
 
Bibi nchi imemshinda.ili kuwaokoa watz bora ajiuzulu ili waje wachumi na wazalendo ili kuikwamua nchi kwenye huu mkwamo wa uchumi uliosababishwa na huyu bibi yetu pamoja na chawa wake wakimdanganya unaupiga mwingi wakati matokeo in sifuri.
 
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.
Kwani wewe ndio unaiona Leo? Toka mwezi wa 7 buku iliongezeka na maisha yanaendelea
 
Ni kawaida, gharama ya uzalishaji ikiongezeka, lazima iathiri bei ya uuzaji pia.
 
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.
KWA KUWA NCHI IMEMPATA MWELEZAJI DP WORLD UCHUMI UTAKUWA MZURI KWA KILA MTANZANIA HIVYO BEI YA CEMENT HATA IKIWA TS.20000/= KWA MFUKO NI SAHIHI
 
Back
Top Bottom