kyela

Kyela is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Rungwe District, to the northeast by Njombe Region, to the southeast by Lake Nyasa, to the south by Malawi and to the west by Ileje District.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the Kyela District was 221,490.The District Commissioner of the Kyela District is Claudia Undalusyege Kitta.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
  2. mtwa mkulu

    Je, haya ya huyu Diwani wa Kyela 2020 yanaweza kumkuta "mama" 2025?

    Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa namna hiyo hapo Lusungo na ukanda wa Ndamba kwa ujumla. Utawala wake ulikuwa wenye kuudhi watu...
  3. Erythrocyte

    Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

    Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni. Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari, Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei...
  4. mtwa mkulu

    Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  5. Roving Journalist

    Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  6. JanguKamaJangu

    Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  7. K

    Wafungwa wa Gereza la Kyela washerekea Sikukuu kwa kupewa msaada na Wadau

    Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao. Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
  8. Roving Journalist

    Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  9. N

    Nafasi ya kazi ya Meneja Chama Kikuu cha Ushirika Kyela (KYECU)

    Ndugu wapambanaji wenzangu, hii hapa fursa ya ajira, hii nafasi ni nzuri sana kwa muhitaji wa ajira. changamkia.
  10. Erythrocyte

    Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  11. Erythrocyte

    Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  12. Erythrocyte

    TANZIA Askofu Mwamakula afiwa na Mama yake Mzazi

    Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi. Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
  13. Erythrocyte

    Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

    Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo . Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
  14. stan john

    Maharage ya kyela

    Hii aina gani gani ya maharage na yanafanya vizuri sokoni dar Nimenunua kutoka kyela
  15. stan john

    Mchele wa kyela

    Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali??? Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
  16. mtwa mkulu

    6 Septemba 2023 hali ni Tete Wilaya ya Kyela

    Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza. Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela. Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela 1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme. 2. Ni siku...
  17. stan john

    Naomba kujuzwa bei ya maharage na mchele Kyela na Mbeya

    Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023 Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
  18. BigTall

    DOKEZO Wilaya ya Kyela huduma ya Petroli ni changamoto wiki ya tatu sasa, kwani kuna mgomo wa kimyakimya?

    Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500. Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
  19. Roving Journalist

    Mbeya: Madereva wa mabasi ya New Force, Zanuni, Rungwe Express, Super Rojas, Abood Bus Service na Kyela Express wafungiwa leseni kwa muda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
Back
Top Bottom