star tv

Star is an American musical drama television series created by Lee Daniels and Tom Donaghy for the Fox Broadcasting Company. It revolves around three talented young singers who navigate the music business on their road to success and stars Jude Demorest, Brittany O'Grady and Ryan Destiny. The series, which is set in Atlanta, consists of original music, along with musical fantasy sequences, as dreams of the future. Queen Latifah, Benjamin Bratt, Amiyah Scott and Quincy Brown co-star.The series premiered on December 14, 2016. With the premiere of the series, Amiyah Scott became the third openly transgender person to play a trans major character in a scripted television drama series in America, after Laverne Cox on Orange Is the New Black and Jamie Clayton on Sense8.Star is a joint production between Lee Daniels Entertainment and 20th Century Fox Television and syndicated by 20th Television. On February 22, 2017, Fox renewed the series for a second season, which premiered on September 27, 2017, and crossed over with other Fox series Empire.On May 10, 2018, Fox renewed the series for a third season. Season 3 premiered on September 26, 2018, and airs on Fox Wednesdays at 9:00 PM. Internationally, new episodes premiere on Netflix in Canada the following Thursday.On May 10, 2019, Fox canceled the series after three seasons.

View More On Wikipedia.org
  1. Hadrianus

    Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa. Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
  2. Suphian Juma

    Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI. Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako...
  3. M

    #COVID19 Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
  4. Idugunde

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7. Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star Tv.
  5. Kinuju

    Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

    Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi. Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa...
  6. J

    Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  7. Tindo

    Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

    Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
  8. Erythrocyte

    Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

    Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
  9. B

    Tundu Lissu mubashara VOA

    Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa. Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
  10. Ndebile

    TCRA imulike hujuma inayofanywa na Star TV (Kisimbuzi cha Continental)

    Wamefunga channel za bure kama TBC1, nk. kwa muda sasa, mwanzoni walikuwa wanazifunga kwa siku za mwisho wa juma na kuzifungua Jumanne ila sasa naona kwasababu ya ukimya wenu wamezifunga kabisa na hivyo kuwanyima Watanzania habari ambayo ni haki yao. Tunaiomba TCRA hawa watu wafuate masharti ya...
  11. Gilbert A Massawe

    Ole Sabaya leo atakuwa live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda

    Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa kuendelea kumpuuza mzushi wa Vifo mtandaoni. Maendeleo hayana Vyama.
  12. J

    Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

    Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo hayana vyama!
  13. msela wa mbagala

    Kero: EATV, Star tv na Star times badilikeni mnatukera watazamaji

    Mimi ni mpenzi wa vipindi vya mijadala ya kisiasa na michezo, kwenye mijadara ya siasa nawaangalia sana ITV hata taarifa ya habari sijaona yenye mvuto kama ITV, na kwenye michezo nimeapa kumfata kokote atakapoenda maulidi kitenge kwahiyo nawaangalia wasafi na kuwasikiliza. Naomba Nikiri tu...
  14. J

    Ernest Nyanda wa Star TV, mnapojadili Sheria za Uchaguzi waalike wanasheria mahiri. Usizoe tu wachambuzi wa mitaani, wanakufelisha!

    Kilichonishangaza leo katika mjadala wa Star tv Tuongee asubuhi, mada ikiwa " Muungano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi " ni kwamba wageni wote wawili waliotambulishwa kama wanasheria wameshindwa kutupa tofauti kati ya Muungano na Ushirikiano. Wamesisitiza kuwa penye ushirikiano lazima...
  15. I

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Babati Mjini kurudi upinzani

    Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta Mahawe au achukukiwe mtia nia aliyeshika nafasi ya nne Mwalimu Darabe. Kuna taarifa za chichi chini...
  16. Replica

    Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

    TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima...
  17. Erythrocyte

    Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

    Huyu jamaa ni mwana CCM kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii, anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaCCM mwenzake Reginald Mengi. Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji, kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa CCM tu na nina hakika...
Back
Top Bottom