ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.
Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi...
Kazi ni nini?
(Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu).
Kazi ni utumiaji wa nguvu,juhudi, maarifa katika jambo au jitihada, bidii, utendaji.
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka na wimbi kubwa la tatizo la kukosa nafasi za kufanya kazi. Lakini tatizo hili Kumekuwa likilalamikiwa sana na...
TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo vingi vya habari.
Majuzi Mkulima huyo alifungua rasmi shauri hilo na kutangazwa na Kituo cha TV cha...
ITV muda mfupi wametoka kupewa hii tuzo ikiwa ni mara sita mtawalia tangu waanze kuipata huku ukusanyaji wa habari na usambazaji wake ukiwa wa hovyo sana achilia mbali uchambuzi.
Hawana EPG, sauti hovyo tena zenye mwangwi wakati mwingine, picha za hovyo, hakuna HD pale ni hivyo anashindwa...
MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA
Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda kununua mahitaji kwaajili ya matumizi ya wiki katika soko la mabibo jijini Dar es salaam, lakini...
Ndugu msomaji mimi Leo nimeona nitoe pendekezo kwa Serikali kuangalia ni jinsi gani ikawasaidia vijana wanaohitimu Vyuo vikuu kutumia vyeti vyao kupata mikopo ya kuanzisha biashara mara baada ya kuhitimu.
Kama Serikali ilivyowasaidia vijana hawa kupata mikopo ya kusoma Vyuo basi ni bora pia...
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya...
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta Mahawe au achukukiwe mtia nia aliyeshika nafasi ya nne Mwalimu Darabe.
Kuna taarifa za chichi chini...
Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?
Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?
Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.