millardayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Nani amwambie Millardayo

    Nani amwambie huyu dogo ukurasa wake muonekano mpya hauvutii,hauna habari za maana tena
  2. Pascal_TZA

    Yaliyojificha Mochwari, hatosahau, maiti kufufuka, kupakwa makeup aliekaa miaka 7 anahudumia maiti

    Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje? Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali...
  3. Pascal_TZA

    Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  4. Congressman

    Millard Ayo ana tatizo gani na habari za Upinzani?

    Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua. Katika video zinazohusu Siasa, kwa miaka yote zile zenye maudhui ya CHADEMA na viongozi...
  5. I

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Babati Mjini kurudi upinzani

    Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta Mahawe au achukukiwe mtia nia aliyeshika nafasi ya nne Mwalimu Darabe. Kuna taarifa za chichi chini...
  6. I

    Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

    Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi? Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao? Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi...
  7. I

    Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

    Ukimaliza chuo na degree yako huku mtaani ukija ujue ndo unaanza form one za kitaa. Huku ni kutafuta kwa jasho degree inabaki kwanza kwenye karatasi. Tatizo vile vyeti hata Kuombea mkopo wa kuanzisha hata biashara au mradi wowote ule wa maendeleo haviwezi. Elimu yetu inatusaidia kupata vyeti...
  8. Pdidy

    Bilionea Laizer asimzoee sana Millard Ayo na waandishi, akumbuke ya Askofu alipoishia na mabilioni

    Hii ni ushauri kwa aliye karibu na bilionea mpya, Laizer wa Arusha. Aogope sana maana waandishi wa habari watampamba, watamfurahia mpaka mwisho akiwapa vijisenti wakimtangaza. Siku akiishiwa huanika kila kitu na kubakia haamini kama ni wale waliokula naye nyama za ng'ombe na kutapakaa...
Back
Top Bottom