jalalani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blender

    Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  2. MIXOLOGIST

    Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

    Wsalaam wana JF Hawa wasomi, wabobezi, wanaotumainiwa kuwa ni kielezo cha kuelimika na kusimamia yale waliyobobea wanakua ni laughingstock. Of cause adui wa kwanza ni njaa, na hii sometimes ni individual case, a case to case basis. Ila inapokua systematic, yaan the whole bunch of population...
  3. R

    Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  4. R

    SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
Back
Top Bottom