Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.
Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala ya usalama wa Taifa na linapokuja suala la usalama ni vema liwe ni kipaumbele kwake.
Vinginevyo tunapoelekea ni dhahiri tutaitumbukiza nchi hii kwenye shimo.
Pia kuna kauli kaitoa Spika na kusema hata yeye ilikuwa aingie jeshini lakini akaishia njiani, aliyasema hayo baada ya mbunge kueleza baadhi ya vigezo vinavyoangaliwa kwa mtu kuingia jeshini kuwa ni pamoja na mtu asiye na unyayo bapa/flat foot. Spika akasema kwani flat foot ina shida gani. Kiukweli approach ya Spika katika hili haikuwa nzuri hadi inaonekana huende naye ana chuki kwa kuwa hakufanikiwa kujiunga. Bila kujua kuwa aliyakosa hayo mengine kwasababu Mwenyezi Mungu alikuwa amemuandalia njia nyingine ya yeye kuwa KIONGOZI MKUBWA WA MUHIMILI MMOJAWAPO KATIKA TAIFA HILI. Hivyo kuonyesha chuki kwa michakato mingine au kuutumia ukubwa wa nafasi yake kama fimbo ya kisasi NI KUMKOSEA MUNGU AMBAYE ANAWEZA KUMUADHIBU.