Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,881
- 4,884
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi.
Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa uongozi kati ya wanawake na wanaume basi waache kutumia hizi figures.
Hawa viongozi wamefail totally. Rais Samia naona kabisa serikali imemshinda maana kama mnasikia matukio ya sasa hivi pengine hatukuyasikia huko nyuma au kama tuliyasikia ameshindwa kuyazuia
Sasa hivi upigaji serikalini umerejea kwa kasi sana, matukio ya rushwa, kujuana kwenye ajira, matukio ya watu kufia mikononi mwa polisi, yani utendaji wa serikali umekua lege lege sana. Yani sasa hivi ni kawaida kusikia mama mjamzito amefia hospitali kwa sababu amekosa elfu kumi ya dawa.
Kuonesha kwamba hajali afya za wananchi wake amefuta toto afya card, suala la umeme ndo limemshinda asubuhi kabisa. Miradi mikubwa iliyoachwa na hayati Magufuli ameshindwa kuikamilisha kila siku ni stori tu mara itaanza kesho mara kesho kutwa. Kwa kifupi serikali yake haina tangible item ambayo tunaweza kusema kwamba hii bila Samia tusingefika hapa.
Tukija kwa Dr Tulia failure yake ni simple tu kwamba wakati serikali inashindwa kufanya yote hayo bunge lake limeshindwa kusimamia limegeuka kuwa nyumba ya kusifu na kuabudu.
Kama viongozi hawa ndio reference ya viongozi wanawake basi utakubaliana na mimi kwamba wanawake hawajawa capable enough kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi
Karibuni tujadili kwa hoja