kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  2. matunduizi

    Hii ndio sababu ya Yesu kukomesha seherehe zote za kidini na kuwaelekeza kwenye hii moja inayokuja

    Kilele cha kila matukio ya sherehe za kidini ni matukio ambayo moja kwa moja au kwa kinyumenyume yanahamasisha dhambi kwa wahusika na wasiohusika. Sikukuu za kikristo ambazo hazina baraka (endorsement) za Kristo huitimishwa na ongezeko la zinaa, matumizi ya anasa ya fedha, ulevi, ulafi, ajali...
  3. N

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Serikali haisajili 'groups za WhatsApp' bali inasajili kisheria jumuiya zisizo za kidini

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa amesema kuwa Serikali haisajili 'groups' za WhatsApp isipokuwa wanasajili jumuiya mbalimbali ambazo sio za kidini ambazo zipo kwenye jamii. Anasema kuwa zoezi la usajili ambalo linaanzia kwenye Mkoa wa Dar es...
  4. MK254

    Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  5. Suley2019

    Serikali ya Zanzibar yakemea vitendo vya unyanyasaji wa Kidini vinavyoendelea

    Serikali ya Zanzibar imelaani vitendo vya kinyanyasaji vinavyoendelea kuripotiwa katika mitandao ya kijamii na kusema kuwa matendo hayo ni kinyume na ustaarabu wa Zanzibar na misingi ya kuvumiliana katika imani za kidini. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Charles...
  6. Informer

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  7. Jason Bourne

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  8. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  9. Ashampoo burning

    Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha...
  10. Erythrocyte

    Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  11. MK254

    Magaidi ya FATAH na HAMAS yote yenye mlengo wa kidini, yaanza kulumbana

    Magaidi ya FATAH yenye mlengo wa dini ya kiislamu na magaidi ya HAMAS yenye mlengo wa dini ya kiislamu, yaanza kulumbana, hao FATAH wanawalaumu HAMAS kwa kusababisha majanga Gaza ambayo hayajawahi kushuhudiwa. =============== Marking the first time in which a formal Palestinian voice has blamed...
  12. BARD AI

    Burkina Faso yaripoti mauaji ya Watu 170 waliochinjwa ndani ya wiki moja, Machafuko ya Kidini yakitajwa

    BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS. Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza...
  13. BARD AI

    Waziri Bashe: Upatikanaji wa Sukari hauhusiani na masuala ya Kidini

    Bashe ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya uhaba wa Sukari kumalizika kabla ya Mfungo wa Ramadhan ===== Salaam Ndugu Zangu, Ningependa kutoa ufafanuzi wa kauli yangu iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakati wa maswali na majibu kwenye mkutano na wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es...
  14. MK254

    Top Hezbollah commander hit in apparent Israeli strike as air force head threatens more

    A burning car is seen in the southern Lebanese town of Nabatieh after it was struck in a reported Israeli airstrike on February 8, 2024. (Screenshot from X used in accordance with clause 27a of the Copyright Law) An apparent Israeli drone strike Thursday in southern Lebanon targeted two...
  15. MK254

    Marekani wamuua kamanda wa Kataib Hezbollah

    Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran. =========== A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said. "(US) forces...
  16. MK254

    Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  17. Magical power

    Nyota na masuala ya kidini (UDINI)

    NYOTA NA MASUALA YA KIDINI ( UDINI ) 1. Hawa kiukweli ni watu wanaoegemea upande wa dini yao tu. Yaani hufuata sana dini yao tu. Na wapo tayari kuilinda dini hio ILA SASA kinachofanya waheshimu dini na mila za imani zingine ni maslahi yao binafsi. Hawa wamegundua ukiweka sana misimamo...
  18. MK254

    IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

    Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika... Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’ The Israel Defense Forces on...
  19. Mto Songwe

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA". Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi? Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na...
  20. MK254

    Mzawa wa Marekani bwana Karrem Nasr akamatwa kujiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa kidini

    Marekani itakuja kujutia kwa kuruhusu mazombi yaje na kuzaliana humo.... A New Jersey man arrested in Kenya has been charged for trying to aid terrorist group al-Shabaab, the US Justice Department said, alleging he was motivated by Hamas' Oct. 7 attack on Israel to wage violence. The arrest...
Back
Top Bottom