mtoto wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TZ-1

    Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
  2. U

    Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
  3. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2...
  4. LA7

    Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  5. M

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  6. B

    The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  7. Newbies

    Mtoto wangu wa kike anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  8. NetMaster

    Kujiajiri kunaweza kuwa utumwa, mwaka wa tatu huu bampa to bampa kuamka alfajiri kurudi usiku, sina muda wa kutosha hata wa kupumzika na mtoto wangu

    Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee. Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
  9. mdukuzi

    Nilivyomteka nyara mtoto wangu mwenye utapiamlo toka kwa mama yake

    Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe. Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri. Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe. Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe Akanitegeshea mimba...
  10. La Quica

    Mtoto wangu ananishangaza

    Niaje wakuu Tusichoshane. Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea. Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa. Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila...
  11. Kamongo2

    Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  12. NetMaster

    Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  13. Shy land

    CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

    hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
  14. B

    Msaada jaman mtoto wangu kakosa chuo

    Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri? 1)Muccobs 2) stephano memorial 3) Cdti tengeru arusha.. Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi _ Bachelor of human resources management _Bachelor of community economic development _Bchelor of Arts...
  15. Shy land

    Mtoto wangu kazaliwa na kilo 6 na tatizo la mdomo sungura

    Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
  16. Mom sheena

    Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

    Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
  17. Analyse

    Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    1st Portion: Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo yangu, na hata kuachana kwetu, ni yeye ndio aliniambia muda umefika nikatafute mtoto mwenzangu wa...
  18. M

    Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

    Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman...
  19. laolao

    Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

    Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
  20. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
Back
Top Bottom