CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
hii ni kabla

Screenshot_20221026-095038.png
Screenshot_20221026-095116.png

Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF.

Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura.

Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja, kufahamishwa kama kuna tatizo mtoto atakalolipata badaye kutokana na kuzaliwa na kilo nyingi hivyo jambo ambalo siyo yakawida kwa elimu yangu na uzoefu wangu kwa watoto.

Pili niliambiwa zahanati kuwa mtoto akifikisha kilo kumi nimpeleke hospital kubwa ili kufanyiwa operation ya tatizo la mdomo sungura, kwa watu wanaofahamu hosptali nzuri na muda gani sahihi wakupeleka mwanagu wanijuze Tafadhali sana.

Na kama yupo mdau ambaye ashawahi kuwa na tatizo kama hili naomba, naomba sana sana tuwasiliane ili anijuze kuhusu utaratibu mzima na ngarama za zoezi nzima la operation.

Wakuu asanteni sana na poleni kwa mwandiko na kiswahili kibaya. Yote hii inasababiahwa na Mimi kuishia darasa la Saba.

Mwisho nisaidien mawazo yenu ni muhimu sana kwangu
 
Wamefanya kazi nzuri. Mungu asifiwe na wazazi niwape kongole.
 
Sungura(mdomo wazi) isikiage tu ebwana nakupa ushirikiano uliotoa kwa mkeo Mana lawama zote Kama hakupewa yeye basi elimu yako imekusaidia Mana unamaarifa

Kubwa zaidi kabla hujabandika ujauzito mwingine jitahidi shemeji apime vipimo vyote tafta specialist wakike (kuhusu mama na mtoto(uzazi)
 
Sungura(mdomo wazi) isikiage tu ebwana nakupa ushirikiano uliotoa kwa mkeo Mana lawama zote Kama hakupewa yeye basi elimu yako imekusaidia Mana unamaarifa


Kubwa zaidi kabla hujabandika ujauzito mwingine jitahidi shemeji apime vipimo vyote tafta specialist wakike (kuhusu mama na mtoto(uzazi)

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu kama sijakuelewa unaamanisha chazo cha tatzo hili ni mwanamke
 
Back
Top Bottom