kilo

Kilo is a decimal unit prefix in the metric system denoting multiplication by one thousand (103). It is used in the International System of Units, where it has the symbol k, in lower case.
The prefix kilo is derived from the Greek word χίλιοι (chilioi), meaning "thousand". It was originally adopted by Antoine Lavoisier's research group in 1795, and introduced into the metric system in France with its establishment in 1799.
In 19th century English it was sometimes spelled chilio, in line with a puristic opinion by Thomas Young.

View More On Wikipedia.org
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  2. Andre-Pierre

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?
  3. ChoiceVariable

    Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi

    Watu 10 wamekamatwa Jijini Mbeya Wakitorosha Madini ya Dhahabu kilo 9.5 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na kuisababishia Serikali hasara. Waziri wa Madini Antony Mavunde ameagiza Kamishna wa Madini kufuta leseni za watu hao popote pale ndani ya Nchi.Tukio hili la utoroshaji limekuwa ni la...
  4. abdi basho

    Nauza dagaa nyama, niko Tanga mjini. Bei ni Tsh. 7000 kwa kilo, maongezi yapo

    Habari karibuni sana, nauza dagaa nyama niko Tanga mjini 7000 kwa kilo moja maongezi yapo. Karibuni 0718755347.
  5. JanguKamaJangu

    Apungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto Hospitali ya Mloganzila

    Mkazi wa Ngara mkoani Kagera, Charles Mwakameta amepungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto maalum (intragastric ballon) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na kukaa na puto hilo kwa takribani mwaka mmoja. Mwakameta amepunguza uzito kutoka Kilo 151 alizokuwanazo kabla ya Februari 20...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani. Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
  7. Pfizer

    DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
  8. Mwande na Mndewa

    Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

    Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania? Sukari kilo 5,500 Nyama kilo 10,000 Mchele kilo 4,000 Unga kilo 2,800 Petroli lita 3,300 Umeme Giza kama enzi za Richmond, Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
  9. B

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  10. R

    Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

    Tumefika hapa tulipo. Rais Samia take note of that!
  11. Roving Journalist

    Baada ya kuwekewa puto Hospitali ya Mloganzila nimepungua kutoka kilo 150 hadi 99 hivi

    Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali ilikuwa ngumu...
  12. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Happy new year beautiful people. Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea. Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid). NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini...
  13. stan john

    Matapeli wenitapeli lak 1 niliagiza maharage ya njano kilo 50

    Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa namba yake ,akanambia ni muaminifu na niwe na amani ntapata maharage ya njano, akanitumia namba za...
  14. stan john

    Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  15. N

    Nifanye nini niongezeke uzito?

    Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
  16. Suley2019

    DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Mbali na dawa hizo za kulevya, mamlaka pia imewakamata watu 16 wanaojihusisha...
  17. Suley2019

    Madini yenye thamani ya milioni 961 yakutwa yakitoroshwa

    Madini yenye uzito wa kilogramu 6.93 yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 961 yamekamatwa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya yakitoroshwa kwenda kuuzwa nje ya Nchi. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema hayo akiwa katika machimbo ya dhahabu Wilayani Chunya wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani...
  18. R

    Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  19. T

    Je, kulala kwenye sakafu kunasaidia kupunguza uzito?

    Nimekutana na jamaa anadai kuwa mtu akilala kwenye floor au tiles basi atapungua kilo moja, je Kuna ukweli gani kuhusu hili?
  20. BARD AI

    Mufindi: Afungwa Jela miaka 20 kwa kukutwa na kilo 32 za nyama ya Tandala

    Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, imemhukumu Mbogo Tinda (45), Mkazi wa Kijiji cha Ihoanza Tarafa ya Malangali, wilayani hapa, kutumia kifungo cha miaka 20 gerezani, baada ya kumtia hatiani kwa makosa mawili. Makosa hayo ni lile la kukutwa na nyara za Serikali (nyama ya Tandala – Kudu, yenye uzito...
Back
Top Bottom