Mtoto wangu ananishangaza

La Quica

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
951
2,169
Niaje wakuu

Tusichoshane.

Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea.

Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa.

Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila hakijaisha. Na kula anakula hachagui chakula na kunywa maji, juice anakunywa kila siku ila hajikojolei.

Huyu chaliangu ni jembe.

Au wamama mnasemaje? Dr Lizzy Simara Culture Me cocastic Sky Eclat Joanah Bushmamy Numbisa Shunie Depal Makiwendo Evelyn Salt Hannah Stress Challenger Chaliifrancisco
 
Ao uliowatag ni wanaume wenzio wanatumia majina yanayotaka kufanana na kike ,kuwa Makin Kuna Mtu amewaona na wamemlia nauli na kakutana nao ni upinde
ni nani aliyeliwa nauli, na alikutana na nani? Hebu wekeni wazi bas. Khaaaaah
 
Back
Top Bottom