Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu

Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh

Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.

Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.

Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:

Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.

bado analala na mama yake

Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.

Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?

watoto hawana bibi wala babu
 
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.

Huko ustawi wa jamii nishaenda sana lakini ana ndugu zake ishu ikawa ngumu nilikata tamaa.

Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.

bado analala na mama yake

Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.
. Unataka hizo laki 2, zikatike siyo..
 
Wewe hutaki kuchukua Mtoto wako.Ungekuwa unataka ungeshamchukua Wala huhitji Ustawi wa Jamii Wala nini.Unaenda Shule Unaondoka Naye Unampeleka Kwa BIBI yake au Ndugu yako yoyote,Anakaa huko kwa muda huku unajenga naye mahusiano.Unatulia.Mama Ake akimtaka unamwambia tu atafute mwanaume mwingine azae naye mtoto mwingine kama anapenda sana watoto.

All in All Ushauri wangu ni OA mama yake ili ukae na mtoto umlee.Acha kukimbia Majukumu.Kama Hataki Kuolewa na wewe basi wewe una shida au wote wawili mnashida.So kwanza malizeni hizo shida zenu kisha muoane mlee mtoto
 
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu

Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh

Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.

Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.

Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:

Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.

bado analala na mama yake

Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.

Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ? sina bibi.
Chukua mtoto muweke hapo nyumbani. Kama hampendi mtoto qako jua hata wewe hakupendi.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom