Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,735
Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume

Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,

Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia

Akichukua kitu mfano amechota maji ya kunywa akimaliza anarudisha kama alivokuta imefunikwa,

Kilichonishangaza Jana mama yake kaniita tukae tule Mimi nikawa tu Niko bize na simu numelala kitandani nasoma mtandaoni akanifuata na kunishika mkono akifanya kama kuninyanyua alivoona Niko biza akashika simu yangu na kuivuta na kuiweka pembeni ikabidi tu nimtii.

Sasa Leo pia usiku nikiwa nakula nikachukua simu nikawa nasoma habari za michezo, akachukua tena simu na kuitupa kitandani huku akisema kula,

Nimefurahishwa sana na tabia yake
 
Siku zote ukiwa na katoto kachangamfu raha sana..mimi wa kwangu alkua anapenda nikae nae,mama ake ni msusi sa ilikua nkipita hata kwa mbali akiniona lazma anililie mbaya..nkimbeba t anatlia,

kingne hapendi uchafu hata kdgo,mboga za majan zspokatw katwa hali cha mwisho nkchkua mpira npge dana dana nae analazmisha apige.

Ananitii kulko mama ake saut moja anaskia na anaacha katimiza miwili now 26/9...kalitembea kana miezi 9 nlifurah en am proud of him.

Nipo mbali nae ila namkumbk mwanangu japo mama ake ashaanza kunitoka rohoni..
 
Duh pole mkuu ila mnaweza fanya Jambo lolote kabla hamjatoana kibisa kwenye mioyo yenu
 
Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume

Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,

Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia

Akichukua kitu mfano amechota maji ya kunywa akimaliza anarudisha kama alivokuta imefunikwa,

Kilichonishangaza Jana mama yake kaniita tukae tule Mimi nikawa tu Niko bize na simu numelala kitandani nasoma mtandaoni akanifuata na kunishika mkono akifanya kama kuninyanyua alivoona Niko biza akashika simu yangu na kuivuta na kuiweka pembeni ikabidi tu nimtii.

Sasa Leo pia usiku nikiwa nakula nikachukua simu nikawa nasoma habari za michezo, akachukua tena simu na kuitupa kitandani huku akisema kula,

Nimefurahishwa sana na tabia yake
Saaafii sana...
Pia upo katika ndoa yenye amani sana mno jaah bless mkuu...

Hapo wewe ni amani tuu na your family. Mtoto kama huyo anakua link kubwa sana kwenu tena sana

Nimependa hiyo tabia yake, tajaribu na huyu wangu awe hivo bt any means by force by power 😂😂😂🤝🤝🤝🤝
 
Watoto watundu sana yani wamezidi...

Maza alikua ananilalamikia kwa utundu ila hizi ntu zimezidi zina mishe sana.....

Ngoja tuone....
Zina mishe hatareeeee...
Acha ndio inavotakiwa..

Unakua na mtoto analeta changamoto hata wewe haukai kizembe unajua mda wowote dogo anakichafua
😂😂😂😂😂🤝🤝🤝✍️
 
Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume

Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,

Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia

Akichukua kitu mfano amechota maji ya kunywa akimaliza anarudisha kama alivokuta imefunikwa,

Kilichonishangaza Jana mama yake kaniita tukae tule Mimi nikawa tu Niko bize na simu numelala kitandani nasoma mtandaoni akanifuata na kunishika mkono akifanya kama kuninyanyua alivoona Niko biza akashika simu yangu na kuivuta na kuiweka pembeni ikabidi tu nimtii.

Sasa Leo pia usiku nikiwa nakula nikachukua simu nikawa nasoma habari za michezo, akachukua tena simu na kuitupa kitandani huku akisema kula,

Nimefurahishwa sana na tabia yake
Congratulations
 
Mimi wa kwangu ana tabia zote mbaya mbaya za kwangu na nyingine kajiongeza.

Kwa umri wake wa miaka mowili kashavunja vikombe, sahani, sijui bakiri

Kashakata waya za tv, redio na kavunja simu yangu

Kashamwaga unga na kupasua trei za mayai

Kashachana kitambulisho changu na anapenda kuwashika wanawake maziwa kawe katoto au Mwanamke mkubwa

Ila ninachompendea akiona watu wanakula ndani lazima aje kuniamsha ili nikale

Huyu ana tabia zangu zote
 
Aina hii ndio huwa nawakubali sasa,
 
Duh pole mkuu ila mnaweza fanya Jambo lolote kabla hamjatoana kibisa kwenye mioyo yenu
mkuu kuna mambo ni ngumu sana hata kuyatatua..
mimi ndo nimemaliza chuo nipo apeche sina hata pa kushika,yeye yupo mkoa tofaut..lawama kila siku nifke kwao ikiwa sina kitu na hali anaijua.
mwisho hyo hali ya kunlalamikia juz kat nmemjibu shit,lengo akasrke nami nfocus na mambo mengne kichwa cha moto sana..
moja haikai mbili ndo usiseme.LIFE
We had 7yrs..mahusiano tmeanza nkiwa 4m 4 2016 kipind hiko ye alikua 4m three..
thread yako imenikumbusha mwanangu asee ila acha nikaze tu.
 
Wa kwangu ni 7 siyo Haba mtoto huwa ananitwanga maswali mpaka nasema Kuna mtu kamtuma nn...ana reason vitu mpaka Kuna muda nashangaaa akili ya miaka 7 kuhoji na udadisi wa Hali ya juu ......
Alafu wewe huna
🤓🤓🤓😂😂😂😂
Kaitoa wapi sasa...?
 
Wa kwangu wa umri mdogo ni kama wako mwaka na miezi sita, ni wa kiume..nikiwa nae anakuwa smart sana..halii hovyo, ni msikivu na anapenda sana kufurahi..

lla mama ake akitokea tu ni shida.
Analia bila mpangilio, ni mkorofi hataki hata kusikia..mama mtu ndio anazidi kumdekeza..huwa nachukia sana na mama mtu akiwepo huwa sitaki hata kujihusisha nae sana..maana hata ukifoka au akianza kulia mama ake ameshafika..huyo anambeba anaenda kumpetipeti.

Natamani nimjenge awe mtoto fulani hivi ila mama mtu ni changamoto..

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom