uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  2. kalisheshe

    Wenye exposure na uzoefu wa nchi yetu mje mnipe msaada hapa

    Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
  3. Kyambamasimbi

    Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

    Habari wanaJF, Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
  4. C

    Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  5. M

    Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
  6. Jambo Kubwa

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  7. TZ-1

    Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
  8. E

    Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
  9. Wadiz

    Uzoefu Wangu wa Kunyanduana na Mabinti Walozaliwa Miaka ya 1997-2002

    Shalom, Ifahamike ya kwamba ukweli ni tunu na kusema ukweli ni ibada kamilifu. Naomba jamii itambue kuwa umbile la uke wa mwanamke lilivyo halina Cha umri wala nini ili mradi amevuka miaka 19 mwanamke yeyote ni mtu mzima. Mpaka sasa kwa idadi ya wanawake wazaliwa wa 1997-2004 niliotoka nao...
  10. T

    Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  11. Lycaon pictus

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  12. xixi

    Msaada mwenye uzoefu/utaalamu na biashara ya chakula(mama ntilie)

    Habari zenu wapendwa, Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000. Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf: 1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.) 2. Namna ya...
  13. kavulata

    Tofauti ya Simba na Yanga kuelekea mechi zao za robo fainali

    Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia...
  14. H

    Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

    Habarini ndugu watanzania. Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu...
  15. B

    Naomba ajira. Nina uzoefu kusimamia Clearing and forwarding and logistics

    Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse. Naombeni connections wadau 0753 132 133
  16. Majighu2015

    Maisha baada ya usaliti

    Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu. Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
  17. Kaka yake shetani

    Mwenye uzoefu wa gari za Byd yangwang kutoka China

    Gari za byd yangwang zinazotengenezwa china mwenye kujua zipoje.je kwa afrika zinafaa maana wanateknolojia ya umeme na smart AI nyingi sana kwenye gari. Sifa ya injini yake inajitengenezea yenyewe umeme na kusukuma gari sio kama ile ya tesla mpaka uchaji ukilinginisha hii gari.
  18. R

    Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

    Salaam, Shalom. Kwa mara ya kwanza, Nchi yetu ilipokea Rasmi Chanjo ya CORONA virus Kutoka nje aina ya Johnson Johnson mnamo July 24, 2021. Na Chanjo Ile sie tulipewa Bure tofauti na Nchi zingine kama DRC, wao wakinunua Chanjo Kwa kugombania kuhofia kufa Kwa Corona. Hadi sasa imebaki miezi 4...
  19. Dr. Zaganza

    Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  20. M

    Uzoefu wa kazi katika interview

    Habari wapendwa. Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa toka kumaliza chuo na kazi naitaka?
Back
Top Bottom