ifute

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
  2. R

    Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  3. 4

    Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

    Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania. Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya...
  4. S

    Serikali ifute leseni za usafirishaji waliogoma Mbeya

    Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri. Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni...
  5. assadsyria3

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    Msajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta. Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka. Tamko hill limetolewa kwa ushirikiano wa IGP Mangu kwa niaba ya Jeshi la polisi na ofisi ya msajili...
  6. chiembe

    Ili kupunguza hasara, ATCL ifute safari kuelekea vituo visivyo na abiria, hasa Chato

    Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani. Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
  7. tpaul

    Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  8. Mtemi mpambalioto

    Serikali ya Tanzania ifute SAPU kwa Master's Level! ni aibu na mfumo wa kitoto

    Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu! Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
  9. Rhz4567

    Mapendekezo: Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ifute matumizi ya fedha za sarafu na itengeneze noti mpya ya shilingi elfu 20 na elfu 50

    Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa, Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
  10. CCM Music

    Serikali ifute Div 4 na 0. Hazina tija yoyote kwenye ulimwengu wa leo! Halafu ipunguze Div 1 kuna pointi nyingi sana Div 1.

    Zibaki Div 1, 2 na 3. Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini? A level point 3 hadi 20s huko. What the meaning of all these many numbers? Div 1 inaanza 7, 8, 9, 10, 11, unaendelea kuchanja mbuga hadi 17 dah a very long safari. Div...
  11. TheDreamer Thebeliever

    UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  12. W

    Sijawahi kuona trafiki akimpiga faini bodaboda, Serikali ifute kabisa hii faini

    Ndugu zangu, Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda. Hata kwa hii faini ya elfu kumi sioni trafiki wakikusanya wala bodaboda wakilipa. Hesabu ya bodaboda kwa...
Back
Top Bottom