salamu

As-salamu alaykum (Arabic: ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ‎, as-salāmu ʿalaykum, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum]) is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you". The salam is a religious salutation among Muslims when greeting, though it is also used by Arabic speakers of other religions, such as Arab Christians, as well as by Muslims generally. In colloquial speech, often only the first part of the phrase (i.e. Salām, "peace") is used to greet a person. The typical response to the greeting is wa ʿalaykumu s-salām (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ, [wa.ʕa.laj.ku.mu‿s.sa.laː.mu]), "And peace be upon you, too." The complete phrase is as-salāmu ʿalaykum wa-raḥmatu -llāhi wa-barakātuhū (ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum wa.raħ.ma.tu‿ɫ.ɫaː.hi wa.ba.ra.kaː.tu.huː]), "Peace be upon you, as well as the mercy of God and his blessings."
This greeting appears in abbreviated forms in many languages as some variant of salām (سَلَام, cf. Persian [sæ.lɒːm]). Among Christians, during Mass, the priest and the congregation often use the salutation, "peace be with you."

View More On Wikipedia.org
  1. Comrade Ally Maftah

    Salamu za pongezi kwa Ally Happy

    Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa, Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...
  2. M

    Salamu kwako Rais, wakatae wanaokuroga kwa maneno na rangi ya kijani

    Habari ya Jumamosi. Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana. Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi Ninachoweza kukuambia hao watendaji wako ambao wengine niwabadhirifu wengine ni wazembe wanakuloga sana. Uchawi...
  3. J

    Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

    MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  5. Erythrocyte

    Arusha: Mrisho Gambo atumiwa salamu za tahadhari

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno! Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila akiwa na Nabii wa Mungu Godbless Lema , huku mkutano huo...
  6. Ojuolegbha

    Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  7. Erythrocyte

    CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

    Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha . Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
  8. B

    Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  9. Kiplayer

    “Habari za uzima” ndiyo Salamu inayoshika kwa sasa

    Dah! Sijui watu wamekuwa na upako sana kwa sasa maana hii Salam imekaa kiuokovu Fulani Hivi
  10. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  11. K

    Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

    Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli. Mliokuwepo ni kweli jambo hili lilitendeka?
  12. 1

    Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

    Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini. Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo. Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
  13. R

    Je, TFF, Simba na Yanga katiba zao zinawakataza kutoa salamu za pole kwa wanasiasa wanapofariki?

    TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na utamaduni huo. Waache kujikita kwenye michezo wajihusishe pia na jamii kwenye mambo Mtambuka...
  14. JanguKamaJangu

    SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa. Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata. Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
  15. King Jody

    Salamu ya Shkamoo ipigwe marufuku

    Shkamoo inamaanisha niko chini ya miguu yako; Salamu ya kidikteta; Salamu ya kitumwa; Kwa mtazamo wangu salamu hii haina maana, ipigwe marufuku kabisa, Lugha yetu pendwa ya kiswahili ina utajiri wa misamiati mizuri inayoweza kutumika kama salamu badala ya neno shkamoo, kwa mfano; Habari za...
  16. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  17. Poppy Hatonn

    Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
Back
Top Bottom