KMT Wiki Hii Msajili wa Vyama, Jaji Mutungi, Father Kitima, Balozi Amina Salum Ali, Ismail Jussa, Mjengwa, Selasini, Kibamba, Cheyo Waunguruma!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,502
113,610
Wanabodi
Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri.

Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili ya jana ni hiki
View: https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C

Wazungumzaji ni
1.
View: https://youtu.be/l7apUkgY3IA?si=Ve5pLjxStJQuXhzD Issac Cheyo - M/Mwenyekiti United Democratic Party (UDP)
2.
View: https://youtu.be/EUukQ7DiTYw?si=qtoMiVazesdgyM__ Maggid Mjengwa - Mchambuzi wa Siasa.
3.
View: https://youtu.be/yy8bq2PnZwc?si=ZEy_RZLAwfjb5-Jr Joseph Roman Selasini -K/Mwenyekiti NCCR Mageuzi
4.
View: https://youtu.be/cHxuVN8njWM?si=-ouehGdq8HTCG_Cp Hamad Rashid Mohammed - M/Kiti Alliance for Democratic Change (ADC)
5.
View: https://youtu.be/Li8Yu29CwV4?si=1IXGSRSLy4tgH2qQ Balozi Amina Salum Ali - Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Zanzibar.
6.
View: https://youtu.be/TrUw1PZqiKY?si=QQ_t6NWxB9C3oHoL Ismail Jussa - Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zanzibar
7.
View: https://youtu.be/h3TFKlNHV98?si=TfTyMqBGvkYDmr3u Deus Kibamba- Mjumbe Jukwaa la Katiba
8.
View: https://youtu.be/w0WiYIr1t90?si=adEW3mxaa_n9AtEB Father Charles Kitima- Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC
9.
View: https://youtu.be/2Iw3KXte-2c?si=EMQmp1HNbgw6cj6d Msajili wa vyama vya Siasa ,Jaji Mtaafu Francis Mutungi
Usikose kuangalia marudio siku ya Jumatano saa 9:30 Alasiri on Channel Ten.

Kipindi cha Jumapili Ijayo wazungumzaji
1. Anna Mwasioke, Mhariri Mkuu wa TBC na MC wa Mkutano.
2. Mheshimiwa Mohamed Ali Ahmed, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa
3. Msajili wa vyama vya Siasa Mhe, Jaji Mtaafu Francis Mutungi
4. Mhe. Hamza Hassan Juma, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na BLW- Zanzibar
5. Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na Bunge.
6. Mhe. Masoud Othman Masoud- Makamo wa I Rais- Zanzibar
Usikose!.

KMT kinaendeshwa kwa mtindo wa Vox Pop, kwa imani kuwa Vox Populi is Vox Dei!, kauli ya wengi ni kauli ya Mungu na Kauli huumba, kipindi kinatoa fursa ya ku consolidates kupaza sauti ya wengi kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii kuhusu taifa letu, ili suati hizo, ziliumbe hilo jambo.

Kwa vile kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, natoa wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti hizi za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi wakisema wanataka nini, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea wasiposikilizwa, what will happen msije kutulilia humu kuwa huwakujua!...
Mwenye Masikio na Asikie!

Jumatatu Njema.

Paskali
 
Wanabodi
Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri.

Kipindi cha Jumapili ya jana ni hiki
View: https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C

Wazungumzaji ni
1. Issac Cheyo - M/Mwenyekiti United Democratic Party (UDP)
2. Maggid Mjengwa - Mchambuzi wa Siasa.
3. Joseph Selasini -K/Mwenyekiti NCCR Mageuzi
4. Hamad Rashid Mohammed - M/Kiti Alliance for Democratic Change (ADC)
5. Balozi Amina Salum Ali - Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Zanzibar.
6. Ismail Jussa - Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zanzibar
7. Deus Kibamba- Mjumbe Jukwaa la Katiba
8. Father Charles Kitima- Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC
9. Msajili wa vyama vya Siasa ,Jaji Mtaafu Francis Mutungi
Usikose kuangalia marudio siku ya Jumatano saa 9:30 Alasiri.

Kipindi cha Jumapili Ijayo wazungumzaji
1. Anna Mwasioke, Mhariri Mkuu wa TBC na MC wa Mkutano.
2. Mheshimiwa Mohamed Ali Ahmed, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa
3. Msajili wa vyama vya Siasa Mhe, Jaji Mtaafu Francis Mutungi
4. Mhe. Hamza Hassan Juma, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na BLW- Zanzibar
5. Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na Bunge.
6. Mhe. Masoud Othman Masoud- Makamo wa I Rais- Zanzibar
Usikose!.

Paskali

Sisi tunataka utuletee Kinana, Nchimbi, Lissu, John Heche, Mnyika, Mwigulu Nchemba, Msigwa, Lema watu ambao wanaweza kushindana kwa hoja na tafiti na siyo hawa wasifiaji pekee
 
Wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi
wakisema, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea binadamu asiposikiliza sauti ya Mungu, what will happen ... mimi sijui, ila yakija kutokea mambo, watu msije kutulilia humu kwa kusema huwakujua!.
Mwenye Masikio na Wasikie!

Jumatatu Njema.
TANESCO someni hio comment mutusikilize
 
Kwa sababu hivi sasa rais wa dini sio yake.
Wewe nawe ni mpuuzi tu,Father Kitima huyu alikuwa anamkabili Magufuli bila kupepesa macho hadi dhalim ananywea. Udini wako hauna maana unaonekana kama kima fulani tu amevishwa kobaz na barghashia
 

Attachments

  • FB_IMG_1700579192159.jpg
    FB_IMG_1700579192159.jpg
    15 KB · Views: 2
Back
Top Bottom