Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
502
Ndg zangu

Nimesomea political science eneo la PSPA.

Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi.

Najua kazi zao ni

Majukumu
1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992.


2. Kuratibu shughuli za Baraza la Vyama vya Siasa


3. Kufuatilia mapato na matumizi ya vyama vya siasa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010


4. Kufuatilia utendaji wa vyama vya siasa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa Na. 5 ya mwaka 1992.


5. Kugawa ruzuku kwa vyama vya siasa vyenye sifa


6. Kuwa kiungo kati ya Serikali na Vyama vya Siasa nchini


7. Kutoa elimu kwa umma kwa vyama vya siasa na wadau wa vyama vya siasa.
 
Ni wakati wa Wananchi kujitokeza kuomba hizo nafasi baada ya Wakurugenzi kufutwa kazi na Wananchi
 
Back
Top Bottom