afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  2. itakiamo

    TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

    Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
  3. Heparin

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...
  4. Stuxnet

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  5. Nyani Ngabu

    TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

    Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35) pamoja na rafiki wa kiume wa mkewe, Ron Goldman(26) mwaka 1995. Katika utetezi wake, upande wa...
  6. ndege JOHN

    Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
  7. Shujaa Mwendazake

    Mwanamuziki Malu Stonch wa FM Academia afariki dunia wakati akitumbuiza jukwaani

    Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija". Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch alidondoka...
  8. Replica

    TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
  9. JoJiPoJi

    TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija". Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
  10. KJ07

    Afariki akijaribu kuiba nyaya za umeme

    #HABARI Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Adamu Assan (30) mkazi wa Mafichoni Kiteto amepoteza maisha kwa kupigwa na shoti ya umeme akidaiwa kuwa alikuwa anaiba nyaya za umeme. Marehemu amekutwa chini ya nguzo za umeme zilizobeba transfoma leo April 06. 2024 eneo la Mnadani Partimbo huku...
  11. Dalton elijah

    TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
  12. Erythrocyte

    Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

    Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu INNALILLAH...
  13. Replica

    TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

    Nimepokea taarifa, mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo amefariki Dunia. Sabodo ametokea mkoani Lindi na alijenga shule maarufu kule pia alifadhili chama cha upinzani cha Chadema ====== Mustafa Sabodo alizaliwa mwaka 1942 mkoani Lindi na alipata kusema ametoka kwenye familia yenye...
  14. Mzee Abaya

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  15. Championship

    TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET...
  16. DeepPond

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka zinazohusika. Chanzo: New York Times, New York Post
  17. Makamura

    Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

    Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
  18. JanguKamaJangu

    Watoto wa Staa wa Nollywood, Mr Ibu aliyefariki kufikishwa Mahakamani kwa Kula Hela za michango

    Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada ya kuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Mr Ibu aliyeigiza zaidi ya filamu 200 amefariki wakati alipokuwa...
Back
Top Bottom