Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,244
8,563
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Salaam jukwaa la MMU,

Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki?

Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.

Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo za kugeuka mayatima. ๐Ÿ˜‚

Hili ni angalizo natoa kwa vijana sio kila pisi kali unaomba namba.
 
Siku hizi pisi hazigomi kutoa namba.

Pisi ikiona haumvutii inakupa namba ila ghafla inaanza kua omba omba mara utaskia kodi imeisha, simu imepasuka kioo au mic imekufa, mama ake anaumwa, luku imefika zamu yake kuchangia na hana hata mia, wiki inayokuja ana birthday party anaomba usimamie show...

Yani ilimradi tu ukose pozi utemane nae.. Lakini kama amekuelewa mwenyewe utaona anajishtukia hata kuomba vocha.
 
Pisi omba omba haina aibu mkuu ni omba omba tu wala romantic girls never ask for excuses.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Salaam jukwaa la MMU....

Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki....๐Ÿคฃ

Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.

Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo za kugeuka mayatima. ๐Ÿ˜‚

Hili ni angalizo natoa kwa vijana sio kila pisi kali unaomba namba.
Wanakera sana, mnakutana tu gas inaisha, mama anaugua, nywele zinafumuka, rent inaisha na simu inavujia
 
" Bae tuma na ya kutolea...."

and right away I'm like...
images (7).jpeg

-Kaveli-
 
Tongozeni huko maoficin kwenu. Au kwenye semina za kikazi. Ama na nyie kazi zenu ni za kuunga unga ndio maana mnaumia sana mkiombwa hela?
Kazi zetu za kulenga kwa manati huli mpaka ujitume.
 
Tongozeni huko maoficin kwenu. Au kwenye semina za kikazi. Ama na nyie kazi zenu ni za kuunga unga ndio maana mnaumia sana mkiombwa hela?
Ishu sio kuombwa hela... ila hela inatokaje maana hela bila mipango sio hela ni anasa

Tunakutana Leo

Leoleo umeme umeisha, bill ya maji unadaiwa, unataka usuke, bando limeisha, Huna nauli, hujala and so on..

Yaani mtongozo mmoja unazalisha mambo yote hayo? Kabla ya kukutana ulikuwa unaishije...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom