mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ziroseventytwo

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  2. NetMaster

    Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  3. Mlolongo

    Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    TAHADHARI: Upepo mkali kuipiga Dar kwa siku nne mfululizo kuanzia tarehe 20 hadi 23/01/2023

    Mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba vinatarajiwa kukumbwa na upepo mkali wa kasi ya kilometa 40 kwa saa kwa muda wa siku nne mfululizo. kuanzia Januari 20 hadi 23 mwaka huu. Utabiri uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA inaonesha...
  5. Mohamed Said

    Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

    UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere. Ubishi uko katika bidhaa...
  6. William Mshumbusi

    Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  7. J

    Kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 iweje upungufu wa Megawati 300 usababishe mgao mkali hivi?

    Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu, So inakuwaje upungufu wa megawati...
  8. S

    Mgao mkali wa umeme Tanzania

    Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
  9. The lost

    Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  10. U

    Mwanamke usipoachana nae kwa ugomvi mkali ni mtihani sana

    Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka. Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya...
  11. Nyuki Mdogo

    Inaonekana huko Pangani kuna uchawi mkali sana

    Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema "Ukitaka kuroga nenda Pangani." nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito. Copy to Mshana Jr BIN...
  12. Kijakazi

    Mbowe awasha Moto mkali na kumwaga Vumbi!

    Pichani with a loser, …
  13. N

    Ahueni: Kumbe vlach magic uchawi wa serbia ni mkali kuliko voodoo

    Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa Hatari sana unaambiwa the story goes back...
  14. Mboka man

    Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

    Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia Licha ya...
  15. MK254

    Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

    Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye. Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
  16. chiembe

    Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha. Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
  17. Kiungonguli

    Nani mkali kati ya Aziz Ki na Augustine Okrah?

    Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
  18. Ushimen

    Frank Morris na wenzake watatu alivyo toroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali Alcatraz

    Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963. Huu ni muonekano wa ndani ya gereza la Kisiwa cha Alcatraz mwaka wa 1986, ukiangalia kusini kutoka kituo cha ulinzi cha...
Back
Top Bottom