LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,105
Kwema wakuu kama mnavyojua bado nipo kwenye ziara yangu ya mikoa ya kusini mwa Tanzania. Baada ya Newala na Mtwara na Masasi, ninaelekea Nachingwea nikitokea Masasi.
Naomba watu mnaoijua Nachingwea vizuri mnipe ABC za wilaya ya Nachingwea na vijiji vyake. Mfano wenyeji wa Nachingwea ni kabila gani tabia zao zikoje nakadhalika. Tabia za wanawake wa huko zikoje kwenye mahusiano nakadhalika.
With much thanks in advance.