Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa...
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.
Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu
NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu.
Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
Je, kesi mahakamani inachukua muda gani hadi kusikilizwa? Hili ni suala linalomkabili mama mmoja mkazi wa Kawe ambaye alinunua kiwanja Mapinga kutoka kwa bodaboda mmoja anaemwamini. Hata hivyo, alipokwenda kuangalia ardhi hiyo, aligundua kwamba kuna mtu tayari ameshaanza kujenga, na baadaye...
Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari,
Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam...
Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti inakata kabisa mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhali. Ni sony home theater watt 1000
Salaam, shalom!!
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, tayari tumekwisha ona homa ya Uchaguzi, HOFU kubwa ni kutoboa na kupata ushindi 2025. Wapo watia Nia ambao wamekwisha Anza compaign kabla ya Uchaguzi katika nafasi mbalimbali, yote hiyo ni homa ya Uchaguzi.
Homa hiyo hiyo Iko katika ngazi zote...
Wanaukumbi.
https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19.
Pia, FKE imesema Sekta...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake.
Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri.
Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.
Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson.
Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa...
Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai
Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa
Awali...
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto.
Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo.
Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira...
Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
Achana kabisa na addiction ya sigara.
Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.
Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.
Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekuwa akitoa mfululizo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi wanaimba hii nyimbo?
Ombi langu kwa Basata msifungie nyimbo zinazokashif mamlaka tu! Camera yenu imulike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.