Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,177
2,281
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.

Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao.

Professionally, hii siyo kauli nzuri, yani ubebwe kisa wewe uko nyumbani kwenu wakati ngumi zinaoneshwa LIVE na ulimwengu unaona!! Au wanataka chama Cha ngumi Tanzania kifungiwe kwa kuboronga ktk maamuzi. Au wanataka mabondia kutoka nje wasije Tanzania kwa kuogopa wenyeji kubebwa.

Sasa huko Ulaya mnakosema huwa mnaonewa ni Mtanzania gani huwa anawaona mkionewa, isije kuwa ni janja janja zenu tu Wabongo maana ndo maisha yenu mlishazoea. Mara utaskia "mabegi yamepotelea airport, mara viatu nilipewa over zise" Nonsense. Na isitoshe kosa moja haliwezi kuhalalisha makosa mengine yaendelee. Km hamtaki kucheza ngumi hameni nchi muaachie wanapoenda haki wapigane.

Nimalizie tu kwa kusema Watanzania wengi wamezoea maisha ya ujanja ujanja sana, ku fake maisha na undugu-naization ndo maan nchi haisongi mbele. Ebu Dulla na kampani yake waache maisha ya ujanja ujanja waende kwenye uhalisia. Mchezo wa ngumi ni mchezo wa wazi kila mtu anaona.

NB: Naomba chama Cha ngumi Tanzania kimfungie Dulla na Ibra Classic au wapewe adhabu kali kwa kutoa shutuma kali dhidi yenu mbele ya kadamnasi tena mbele ya kamera za AZAM TV ili liwe fundisho kwa wale wasiojua mchezo wa ngumi ila wanalazimisha kujua ngumi kwa sababu ya njaa.

BANDOKITITA nimemaliza.
 
Nimewahi kuandika humu jf kuhusu mabondia wa Tanzania kubebwa , nikatoa mifano hai kabisa , lakini nikabezwa , yuko bondia mwingine alipigwa ngumi na Katompa akachanika , Pambano likavunjwa kwa madai ya uongo kwamba Katompa alipiga kichwa .

Siri hii na nyingine bwana Dulla anaijua , yawezekana ilipangwa mpango kama huu leo lakini akageukwa baada ya kuzidiwa mwanzo mwisho ( huwezi kubeba gunia la misumali )

Dulla akijua kachakazwa lakini bado akataka abebwe kama wanavyobebwa wenzake , hii ni aibu kwa familia ya ngumi .

Bado kidogo siri zote za uchafu wanaofanya zitafichuka zaidi .
 
Katompa ata warudiane na Dula mara 10 Bado Dula atapigwa tu. Nime mshangaa Ibra classic kujiingiza kwenye upuuzi wa Dula.
Bondia pekee anayeweza kumtandika Katompa bila shaka youote ni Selemani Kidunda kwakua jamaa ni Boxer mwenye akili na nguvu.
 
huyo bwana sele alishachapika vizur tu majaji wakambeba nandio mana dullah ameona anaonewa iweje wenzie wabebwe yeye asibebwe
 
K
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.

Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao.

Professionally, hii siyo kauli nzuri, yani ubebwe kisa wewe uko nyumbani kwenu wakati ngumi zinaoneshwa LIVE na ulimwengu unaona!! Au wanataka chama Cha ngumi Tanzania kifungiwe kwa kuboronga ktk maamuzi. Au wanataka mabondia kutoka nje wasije Tanzania kwa kuogopa wenyeji kubebwa.

Sasa huko Ulaya mnakosema huwa mnaonewa ni Mtanzania gani huwa anawaona mkionewa, isije kuwa ni janja janja zenu tu Wabongo maana ndo maisha yenu mlishazoea. Mara utaskia "mabegi yamepotelea airport, mara viatu nilipewa over zise" Nonsense. Na isitoshe kosa moja haliwezi kuhalalisha makosa mengine yaendelee. Km hamtaki kucheza ngumi hameni nchi muaachie wanapoenda haki wapigane.

Nimalizie tu kwa kusema Watanzania wengi wamezoea maisha ya ujanja ujanja sana, ku fake maisha na undugu-naization ndo maan nchi haisongi mbele. Ebu Dulla na kampani yake waache maisha ya ujanja ujanja waende kwenye uhalisia. Mchezo wa ngumi ni mchezo wa wazi kila mtu anaona.

NB: Naomba chama Cha ngumi Tanzania kimfungie Dulla na Ibra Classic au wapewe adhabu kali kwa kutoa shutuma kali dhidi yenu mbele ya kadamnasi tena mbele ya kamera za AZAM TV ili liwe fundisho kwa wale wasiojua mchezo wa ngumi ila wanalazimisha kujua ngumi kwa sababu ya njaa.

BANDOKITITA nimemaliza.
Dulla hakuna kitu, yaani alipigwa kama ngoma. Uwezo mdogo kabisa, Katompa ni mtu na nusu.
 
Katompa ata warudiane na Dula mara 10 Bado Dula atapigwa tu. Nime mshangaa Ibra classic kujiingiza kwenye upuuzi wa Dula.
Bondia pekee anayeweza kumtandika Katompa bila shaka youote ni Selemani Kidunda kwakua jamaa ni Boxer mwenye akili na nguvu.
Uko sahihi 💯% hata mimi nilisema km wewe. Eti Ibra Classic mwanaume mzima anamlilia Dulla, hivi hawa jamaa walipanga kitu gani.
 
Kibaya zaidi kapigwa na mtu aliefiwa na baba yake mzazi siku moja kabla ya mchezo. Yani mtu kaacha maiti ya baba yake mzazi hospitali kaja kukupiga alafu wewe bado unajiona bondia.

Vipi km KATOMPA asingefiwa na mzazi, nadhani Dulla angetoka ulingoni maiti. Yani alipigwa ngumi za huzuni sn lakini bado analalamika badala ya kumshukuru Mungu KATOMPA kufiwa na mzazi. Kwanza wangekuwa wao, jinsi navyowajua Wabongo kuokoteleza sababu angehairisha pambano.
 
Katompa ata warudiane na Dula mara 10 Bado Dula atapigwa tu. Nime mshangaa Ibra classic kujiingiza kwenye upuuzi wa Dula.
Bondia pekee anayeweza kumtandika Katompa bila shaka youote ni Selemani Kidunda kwakua jamaa ni Boxer mwenye akili na nguvu.
Huyo Kidunda ndiye alipigwa akachanika na kuokolewa , Tanzania hamna bondia .
 
Katompa ni top ten kwa dunia kweny uzito wake ana kasi ana akiri uyu dulla akubar amuwezi tu sema inaonekan kweny caria yake uyu dulla ndio kwishi nei kamishen ya ngumi aiwez kumpa kibar apande ulingon
 
Back
Top Bottom