Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

indian mark 2

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
398
301
Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti inakata kabisa mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhali. Ni sony home theater watt 1000
 
Kiongozi hizo ndo zilivyo mm na lg nayo sauti ikiwa ndogo huwa twiter zinapotea ,hizo unatakiwa sauti isipunguwe 30 ,ndo utaona twiter hazipotei ,Sijui zimetengenezwaje aises ,nahisi kama ni deep bass
 
Kumbe zina hayo Majanga, Asante
 
Kumbe zina hayo Majanga, Asante
Kabisa mm nilinunuaga ya kwanza lg mkononi ikawa inashida hiyo nikahisi mbovu ,nikajipanga nikazama shop kuja nayo ikawa hivyo nikarudisha wakanibadilishia nyingine nikaona yale yale ,mpaka nakuja kugundua kuwa sauti ikiwa chini ya 30 inamtindo wakujipunguza ,na kuwa deep bass ,ndo nikazielewa ,mpaka leo nikitaka sauti isishike naweka vol 30 hapo huwoni twiter zikizima ...ww chunguza kisha unipe mrejesho maana ikiwa chini ya hapo itaimba kwa sauti kubwa ikifika muda unaona sauti inajishusha
 
Sababu kubwa inaweza kuwa ni waya ambapo kama imekatika sauti ikiwa ndogo zinafanya kazi kwa kuwa vibration frequency ipo chini kwa hiyo connection inakuwepo bado lakini iukiongeza volume vibrations zinaongezeka na kufanya waya ziache connection.
 
Kiongozi hizo ndo zilivyo mm na lg nayo sauti ikiwa ndogo huwa twiter zinapotea ,hizo unatakiwa sauti isipunguwe 30 ,ndo utaona twiter hazipotei ,Sijui zimetengenezwaje aises ,nahisi kama ni deep bass
Hii nitaijaribu kesho nitaleta mrejesho hapa mana nishaona kama ni upuuzi mtupu kitu unanunua kwa gharama kubwa alafu linakuja kukuletea mazingaombwe
 
Mkuu
HT Ninayo Watts 300 Iliwahi Kuwa Hivyo Nikichofanya Nikisikiliza Speaker Moja Moja
Zingine Zinapiga Zingine Hazipigi. Nikatoa Nyaya Zote Za Speaker Nikarudisha Vema Halafu Nikahakiki Speaker Moja Moja Ikawa Sawa

Kingine Uende Kwenye Remote Yako Endapo Mnatumia Wengi Kuna Sehemu Ya Kuchagua Matumizi Ya Speaker MULT, 2 CHANNEL,SINGLE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom