kuhudhuria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mzee Mwinyi augua, ashindwa kuhudhuria mkutano wa CCM Dodoma

    Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu leo Desemba 6, 2022 wakati akisoma salamu zake katika mkutano mkuu wa 10 unaoendelea...
  2. Lady Whistledown

    Kenya: Mwanahabari atoa wito wa Wafungwa kuruhusiwa kuhudhuria Mazishi ya Wanafamilia

    Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
  3. Suzy Elias

    Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

    Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
  4. Mag3

    Mazishi ya Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza...hawa ndio walipewa mialiko rasmi kuhudhuria!

    Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
  6. N

    Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Ruto ni kuendelea kudumisha Diplomasia

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza ushirikiano katika biashara, kilimo na usalama kwa manufaa ya nchi zote. Uuzaji wa bidhaa za...
  7. BARD AI

    Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto. Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
  8. M

    UZUSHI Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

    Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania. Aidha, inadaiwa pia wawili hao mpaka sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za...
  9. K

    Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

    Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
  10. Tony254

    Watu kutoka nchi karibu mia mbili duniani wanakongamana Nairobi kuhudhuria UN Biodiversity conference

    Hii Nairobi imeshakuwa global city. Nairobi sasa hivi inahost UN Biodiversity conference na watu wanaohudhuria hii conference wanatoka katika nchi zote duniani. Crunch Talks Kick Off On Global Pact To Protect Nature Negotiators from almost 200 countries will begin crunch biodiversity talks in...
  11. mitale na midimu

    Hasara 4 za Kuabudu kwenye TV badala ya kuhudhuria pamoja na wenzako

    Unakosoa agizo la Mungu. Msiache kukusanyika pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Unakosa Baraka maana kukaa peke yako wakati huna sababu ni laana. Rahisi kutekwa na Televangelists wengi ambao ni wajasiliainjili. Kuna watu wameteka mitego kunasa watu wasiojitambua mitandaoni kwa mgonjobwa...
  12. M

    Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  13. M

    Mazishi ya Mwai Kibaki: Ni muhimu kuhudhuria!

    MwanJumui wa Africa Rais Mstaafu Mwai Kibaki tutakukumbuka daima. Hasa Thika Super highway na elimu bila malipo.
  14. Linguistic

    Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Kura 18 zimemkataa. Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi. Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti. Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
  15. Lady Whistledown

    Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

    Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures imetangaza "Bodi imeamua, kwa muda wa miaka 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Bw. Smith hataruhusiwa...
  16. N

    Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
  17. kyagata

    Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Vipi jamani, mambo yameendaje huko? Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
  18. Linguistic

    Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

    Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya. Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera. Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chato Airport) kuanzia muda wa sa 5 asubuhi kwa Saa za Afrika Mashariki...
Back
Top Bottom