Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures imetangaza

"Bodi imeamua, kwa muda wa miaka 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Bw. Smith hataruhusiwa kuhudhuria hafla au programu zozote za Academy , yeye binafsi au kwa njia ya mtandao, lakini sio kwa Tuzo za Academy," ameeleza Rais wa Academy

Uamuzi huo ulifanywa wakati wa mkutano wa Bodi ya Magavana uliofanyika mapema siku ya leo huko Los Angeles.

Marufuku hii haitajumuisha kuwania au kushinda tuzo hizo maarufu za Filamu

Chanzo: CNN
 
Wamemmalizaje kwani kutokuhudhuria tuzo ndio kummaliza?

Kwanza tuzo za Oscar Wala sio maarufu
Tatizo Wabongo tunalinganisja umsikini wetu na mambo mengine.

Huko duniani kujenga heshima 'legacy'ni muhimu kuliko pesa pekee.

Ndio maana kina Ronaldo hawapati usingizi wanatamani kubeba Kombe la dunia na timu ya taifa.

Willy kajiharibia sana kwa majivuno ya kijinga, ndio maana wengi hawako upande wake.

Ye mwenyewe ni comedian alafu anafanya ujinga kisa Mwanamke wake amuone wa maana.

Ilitakiwa anyang'anywe kabisa hiyo Oscar.
 
He deserves it
Mkosa adabu
Majivuno yamemponza
Akae bench
The guy yupo empty sana kwa medulla oblangata
Analazimisha kupendwa na asiyempenda sasa he is paying the price
'anasemaga yeye 'he is not black.......' imekula kwake...
Atulie asisumbue watu
Hivi kajada kamempa nini...jamaa kama zezeta yaan

Bibi limekazwa na ki Ben 10 lipo lipo tu ka jinga fulani
 
Tatizo Wabongo tunalinganisja umsikini wetu na mambo mengine.

Huko duniani kujenga heshima 'legacy'ni muhimu kuliko pesa pekee.

Ndio maana kina Ronaldo hawapati usingizi wanatamani kubeba Kombe la dunia na timu ya taifa.

Willy kajiharibia sana kwa majivuno ya kijinga, ndio maana wengi hawako upande wake.

Ye mwenyewe ni comedian alafu anafanya ujinga kisa Mwanamke wake amuone wa maana.

Ilitakiwa anyang'anywe kabisa hiyo Oscar.
Mwanamke mwenyewe anamiliki " public pussy"

Smith jinga kweli, ningekuwa mwanaume wa Jada asee siwezi mtetea kwa ishu yake yeyote, mtu anagawa K kifala hivo
 
Mwanamke mwenyewe anamiliki " public pussy"

Smith jinga kweli, ningekuwa mwanaume wa Jada asee siwezi mtetea kwa ishu yake yeyote, mtu anagawa K kifala hivo
Sifa zimemponza, hatuwezi kusema ameumia sana mke wake kutaniwa wakati mwanamke mwenyewe anagongwa hovyo na washikaji. Kulikuwa na tetesi kuwa Smith ni Shoga labda hili lina ukweli, katika harakati za kuthibitisha kuwa yeye ni straight ameishia kufanya vituko.
 
Umeona sasa

Hapo alijua akifanya vile litazidi kumpenda
Wale mapenzi yalishaisha kitambo, funny enough wakati wanaanza Jada ndiyo alikuwa analazimisha na mademu wengi celebrities walikuwa na shobo na kutamani kuolewa na Will(Fresh Prince) lakini kibao kikageuka eti mpaka ikafika hicho kibibi marafiki wa mwanae wanamla na inatangazwa na mafala wengine kibao wanakula yaani kitumbua cha kabibi hako kikawa 'public pvssy' eti na zoba akakubaliana na hilo kwamba iwe tu ya public lakini hawaachani(sick!).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom