azuiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  2. BARD AI

    Alichokisema CAG Kichere kuhusu Tsh. Trilioni 360 za TRAB na TRAT

    Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
  3. Roving Journalist

    Timu ya Barcelona yaelekea Marekani, Xavi azuiwa Uwanja wa Ndege

    Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala. Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
  4. Gama

    New Zealand: Mfugaji azuiwa kufuga ndama, atozwa faini

    Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n hewa ya kutosha, joto kali kitu kilichosababisha vifo. Ndma walioonekana kuwa na hali mbaya waliuawa...
  5. Lady Whistledown

    Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

    Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures imetangaza "Bodi imeamua, kwa muda wa miaka 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Bw. Smith hataruhusiwa...
Back
Top Bottom