kigamboni

  1. A

    DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  2. L

    NYUMBA INAUZWA IPO KIGAMBONI KIBADA

    Nyumba ipo KIGAMBONI Mwembe mtengu inauzwa. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 50Mil Maongezi yapo. Mawasiliano: sms,calls,watsaap 0784379396 Email: leonapolinary@gmail.com
  3. Baba Tee

    Mbwa wakali wa ulinzi (mali dutchie puppies)

    Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi Aina: MALI DUTCHIE DOG Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois Umri : 3.5months Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo Walipo: Kigamboni-Kibada Mawasiliano: 0713621678 au...
  4. BigTall

    Hali ilivyo Kituo cha Daladala Kigamboni, inasikitisha, Mamlaka ziko wapi?

    Tunaomba jamii ione na ipaze sauti kuhusu hiki Kituo cha Daladala cha Kigamboni, ona hali yake ilivyo. Wilaya au wahusika wameshindwa kukijenga au? Kipo opposite ya Ikulu, kipo kwenye mlango wa bahari pahala ambapo ni Mjini kabisa, hali yake mbaya sana. Tunateseka mvua zikinyesha, Mbunge yupo...
  5. N

    House4Sale Pagale linauzwa kigamboni Cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, dining, public toilet. Ukubwa 30 kwa 20 Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami Bei:- million 25 maongezi yapo ushindwe mwenyew kupanga bei. Call/WhatsApp:-0766534488
  6. Jaji Mfawidhi

    Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  7. N

    House4Rent Pagale linauzwa Kigamboni cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20 Bei:- million 25 maongezi yapo Call/WhatsApp:- +255766534488
  8. BigTall

    Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
  9. Replica

    NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake...
  10. Replica

    Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki. Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
  11. BARD AI

    Ndugulile: Nilikuwa na wakati mgumu kushindana na Makonda Kigamboni

    "Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje? Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu...
  12. Mchapakazihalisi

    Ndugulile afurahia ujenzi wa veta Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa chuo cha VETA cha Wilaya ya Kigamboni. Ujenzi huu unaofanyika kwa awamu unatarajia kiwa na majengo 24. Dkt Ndugulile aliishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kujenga chuo hiki katika Wilaya ya Kigamboni...
  13. GENTAMYCINE

    Mnacheza Mechi ya Kirafiki na Wazoa Taka wa Kigamboni mnashinda Goli 20 kwa 0 mnajisifu

    Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
  14. H

    Site visit reprentative is needed Kigamboni DSM

    Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am Uwe na vitu hivi personal prptective equipment. 1. Steel toe safety boot 2. Cotton overcoat 3. Helment Representing company Ten associates P.O.Box...
  15. Mama Amon

    Profesa Tibaijuka, Apson Mwang'onda na Mradi wa Kuuza Kigamboni kwa Marekani

    Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni. Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao. Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
  16. N

    Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  17. Ng'wanamangilingili

    Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  18. K

    Boma linauzwa, kigamboni, maweni. 3,500,000

    Boma linauzwa kigamboni,maweni Bei 3,500,000 Piga simu 0712347749
  19. K

    Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  20. sky soldier

    Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
Back
Top Bottom