linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sangaima

    ENEO LENYE NYUMBA 19 LINAUZWA KIMARA

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  2. Kakondele

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  3. Kakondele

    Basi linauzwa

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 37,000,000/= Gari inafanya kazi Bima na latra vipo hai Call,sms,whatsap 0759399805
  4. The Puncher

    Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  5. Lexus SUV

    Kabati la milango mitatu linauzwa ni jipya....pia tunapokea order za kutengeneza makabati na furniture..

    Lipo. Moshi mjini karakana.. Bei 380,000/=.... mawasiliano. 0756294771 Pia ukihitaji kutengenezewa kwa order mafundi wapo inalipa advance then. After a time unaletewa mpaka mlangoni then una maliza kiasi kilichobaki...
  6. hydroxo

    Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  7. Kakondele

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
  8. W

    Plot4Sale ENEO LINAUZWA TUANGOMA KIGAMBONI KARIBU NA KITUO CHA MAGARI KABISA

    Hilo eneo lipo tuangoma stand mpyaaa, Umbali kutoka stand hadi site ni dk 10 kwa kutembea kwa miguu Ukubwa wa eneo ni mita 20/23 Bei mil 15 maongezi yapo kidogo Pia Kuna chumba kimoja Mawasiliano 0748270719
  9. Fintan20

    Duka linauzwa

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi4 imebaki, display board za rangi za kuwekeza viatu, meza ya kioo, pamoja na mzigo wa nguo. Mawasiliano zaidi 0656909474.
  10. uberimae fidei

    Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

    Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
  11. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  12. S

    House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  13. L

    Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  14. Lexus SUV

    INAUZWA Oven yenye Jiko la Umeme la sahani mbili linauzwa

    Oven+jiko la umeme linauzwa ni jipya bado. Maana risiti ya mauzo bado ipo Mawasiliano. 0672701329 .....bei ni 230,000/= lipo moshi mjini...free delivery included Kama picha inavyoonekana full mali ... KARIBUNI
  15. N

    House4Sale Pagale linauzwa kigamboni Cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, dining, public toilet. Ukubwa 30 kwa 20 Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami Bei:- million 25 maongezi yapo ushindwe mwenyew kupanga bei. Call/WhatsApp:-0766534488
  16. N

    House4Rent Pagale linauzwa Kigamboni cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20 Bei:- million 25 maongezi yapo Call/WhatsApp:- +255766534488
  17. Masokotz

    Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

    Habari za wakati huu; Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani. Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
  18. M

    Fridge aina ya Mr UK inauzwa Arusha

    Fridge aina ya Mr UK linauzwa hapa Arusha, bei chee, lina warranty ya miaka miwili Kwa mawasilino zaid 0786 998 436
  19. ndagoTV

    Car4Sale Gari linauzwa Moshi

    Gari linauzwaa moshi Million 5, ina kila document muhimu inayohitajika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0628239332
  20. R

    Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
Back
Top Bottom