Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,826
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.

Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya Serikali na NSSF. Mkurugenzi wa NSSF, Masha Mshomba amesema kwasasa daraja hilo linakusanya wastani wa bilioni 1.2-1.3 ambayo ni kama milioni 41 kwa siku.

Pamoja na ombi la kujirudiarudia la mbunge wa Kigamboni kuomba wananchi wapite bure, jambo hilo liligonga mwamba baada ya Rais Samia kusema limejengwa kwa mkopo na lazima urejeshwe.
 
Mil 41 kwa siku?
Mmmh
 
Sawa na Milioni 40 kwa siku?
 
Hawa jamaa walitupiga fix kuwa ATCL na NMB sijui CRDB na PFFS sijui eti zinakula Faida kumbe zilikuwa Magawio ya Mchongo
 
13051483_10153634495692309_166259266310222560_n.jpg
images (2).jpeg

Picha
 
Gharama za ujenzi ni bilioni 200 plus ..
Kama limeingiza bilioni 83 ina maana nssf wanadai kama bilioni 120
Serikali ilipe deni ...hayo makusanyo yaende kwenye manispaa ya Kigamboni...
 
Lile daraja kwa siku linaweza kufika hata mil 10 kweli?
Milioni 40 kwa magari yenye uzito mdogo kabisa ni 1500

40,000,000/1500=2,666

Hizo ni trips 2666 ambapo kama mtu anaishi Kigamboni anaenda na kurudi. Wastani wa magari yasiyozidi 1300 kwa siku, punguza na mabasi ambayo yanapita hapo siku nzima kwa kurudia rudia..

Nadhani inawezekana..
 
Numbers never lie, Nchi Ina pesa hii,

Ndomana wanaiba haziishi!!!
 
Gharama za ujenzi ni bilioni 200 plus ..
Kama limeingiza bilioni 83 ina maana nssf wanadai kama bilioni 120
Serikali ilipe deni ...hayo makusanyo yaende kwenye manispaa ya Kigamboni...
Harafu manispaa ya kigamboni ipeleke wapi?
 
Back
Top Bottom