Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Wakuu,
Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini?
Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia kwa njia za kidigitali? Teknnolojia imeendelea sasa hivi unaweza kufuatailia mikutano hii ukiwa popote, huwa unazingatia nini ili kufuatilia mikutano hii?