mdudu

Mdudu Joshua Nene (born 28 March 1948) is a South African politician. He represented the African National Congress (ANC) in the National Assembly from 2006 to 2009, representing the KwaZulu-Natal constituency. He was sworn in on 7 August 2006, filling the casual vacancy that arose after Vincent Mabuyakhulu's death. He stood unsuccessfully for re-election in 2009 and 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Kigoma Region Tanzania

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  2. Lycaon pictus

    Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

    Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk. 1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa 2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
  3. Tlaatlaah

    Hii kuzeeka kwa huyu mdudu ni kweli?

    Kuna huyu mdudu anaitwa nzi na wengine husema nzi kutikana na lahaja za maeneo yao. Eti ni kweli maisha yake hudumu kwa kipindi cha siku 7 tu, na katika muda huo anakua ni kikongwe mzee sana hajiwezi, na anaweza aga dunia wakati wowote kwa sababu ya umri usonga sana kitika kipindi hicho...
  4. Nsanzagee

    Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

    Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW? Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
  5. baharia 1

    Mdudu gani huyu?

    ...
Back
Top Bottom