afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
  2. U

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
  3. U

    Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  4. runtown

    Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  5. Southern Giant

    Serikali imegharamia safari ya kwenda Afrika Kusini kwa mashabiki 48 wa Yanga SC

    Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
  6. S

    Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  7. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Watu 45 wafariki baada ya Basi kuanguka kwenye daraja, Msichana wa Miaka 8 anusurika

    AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
  8. LAPSE RATE

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
  9. M

    Raia wa Afrika Kusini wanaopigana gaza kushtakiwa. Je, watanzania wanaopigana gaza kufanywaje?

    Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la habari la AP linaripoti. “Tayari nimeshatoa taarifa ya kuwatahadharisha wale ambao ni wa Afrika Kusini...
  10. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini yaenzi mchango wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

    Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
  11. Webabu

    Afrika Kusini yapendekeza nchi zitoe majeshi yatumike kuvusha misaada Rafah watu wasiendelee kufa

    Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa. Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
  12. JanguKamaJangu

    Mauaji ya AKA: Washukiwa sita wakamatwa kwa mauaji ya rapper wa Afrika Kusini

    Watu sita wanashikiliwa na Vyombo vya Usalama wakituhumiwa kuhusika na vifo vya Kiernan Forbes maarufu kwa jina la AKA pamoja na rafiki yake, Tebello "Tibz" Motshoane waliopoteza maisha kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa Jijini Durban, Februari 10, 2023. Polisi wamesema watuhumiwa walilipwa ili...
  13. BARD AI

    Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi. Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
  14. MK254

    Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

    Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
  15. JanguKamaJangu

    Kikosi cha Afrika Kusini kinacholinda amani DRC chapata pigo la kwanza

    Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao. Kikosi hicho ambacho kilipelekwa DRC, hivi karibuni kusaidia kulinda amani kupitia mgongo wa Jumuiya ya Maendeleo ya...
  16. MK254

    BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

    Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake. Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
  17. I

    Wachezaji wa Ivory Coast, Nigeria na Afrika Kusini wapewa zawadi nono na serikali zao.

    Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
  18. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini kupeleka wanajeshi 2,900 DRC kupambana na Waasi

    Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
  19. R

    Nawezaje kupata ajira rasmi nchini Afrika Kusini?

    SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
Back
Top Bottom