kupatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kampuni ya Resource Mining Corporation's (RMC) yamiliki miradi ya madini ya shaba na dhahabu wilayani Mpanda na Mbozi

    Ununuzi unakamilisha maeneo sita ya miradi ya nickel-shaba ya Kampuni ya Uchimbaji wa Rasilimali (RMC) katika mkanda huo huo. RMC yenye makao yake Australia imefanikiwa kupata miradi ya shaba-ya-dhahabu ya Mpanda na Mbozi nchini Tanzania. Mkataba ulitekelezwa kupitia ununuzi wa asilimia 75 ya...
  2. jimmygatete

    Kupatwa kwa wachambuzi

    Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA. Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi "Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona...
  3. Analogia Malenga

    Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

    Mwaka mpya wa 2023 unaashiriwa na tukio la kipekee angani la Mwezi kuficha sayari ya Mirihi (Mars) siku ya Jumanne tarehe 03 Januari. Usiku wa siku hiyo sayari angavu nyekundu ya Mirihi itazibwa na Mwezi ulio karibu kwa kiasi masaa mawili kuanzia saa 4:15 usiku. Kuanzia saa 4:24 Mirihi itaanza...
  4. Suley2019

    Namna 5 ya kuepuka kupatwa na kiharusi

    Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa mara ili kudhibiti hatari za kiharusi. Watafiti wamegundua hatua nyingi ambazo watu wanaweza kuchukua ili kupunguza hatari ya kiharusi. 1. Ikiwa unavuta...
  5. K

    Kupatwa kwa Mwezi tarehe 26/05/2022

    Wataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.
  6. I

    Huu ndiyo uongozi sasa baada ya kupatwa kwa miaka mitano iliyopita!

    Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu. Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi...
  7. TheDreamer Thebeliever

    Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
  8. sky soldier

    Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
  9. Miss Zomboko

    Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
  10. S

    Kupatwa kwa CCM: Anzeni kuukubali ukweli mapema ili kuepuka tatizo la presha

    Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM. Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda CCM. Sasa, nasema sasa ni kujipanga kulinda ushindi, kura hata moja isipotee kusikojulikana. CCM...
  11. R

    Nani aliwahi kupatwa na haya mambo utotoni?

    Habari wakuu, Nilipokuwa mdogo kuna jambo lilikuwa linanitokea mimi pamoja na wadogo zangu na hata watoto wa majirani au ndugu wa karibu. Mara kwa mara unalala usiku ukiamka asubuhi unajikuta kuna alama kama umechomwa na moto (kovu jeusi) lakini husikii maumivu pale ulipochomwa. Wazee wetu...
  12. GENTAMYCINE

    Hivi Sheria kama hii haiwezi kufikiriwa kutungwa Nchini Tanzania kwani tumechoka kupatwa na 'Vinyaa' kila wakati?

    Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
  13. njiwaji

    Namna ya kuangalia kupatwa kwa jua kesho Jumapili asubuhi

    Habari zenu wote, Hizi ni tovuti pakupata video za maelezo kuhusu kuptwa kwa Jua kesho asubuhi kuanzia alfajiri hadi saa tatu asubuhi pamoja na njia za kuona tukio la kupatwa kwa kutumia vifaa vya kawaida vya kupatika majumbani. T Tukio ni kesho alfajiri Jumapili tarehe 20 Juni, 2020, mara tu...
  14. Influenza

    Je, Mwezi unazunguka dunia kwa mwendo usiobadilika 'constant speed'? Inakuwaje tunakuwa na muda tofauti wa kupatwa kwa mwezi au jua?

    Wakuu habarini muda huu! Najua JamiiForums kuna watu wenye maarifa mengi ya kila aina, hivyo naombeni msaada wenu kunielewesha jambo hili Leo usiku hadi kuelekea kukucha kwa kesho kunatarajiwa kuwa na historia mpya kwenye hii dunia kuwa tukio la kupatwa kwa mwezi la leo litakuwa la muda mrefu...
  15. njiwaji

    Mwezi kupatwa mfifio kesho usiku Ijumaa Juni 05, 2020 - penumbral lunar eclipse

    Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10. Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...
Back
Top Bottom