Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

MrWings

Senior Member
Mar 10, 2022
158
328
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
 
Ukishuka ongea na mtu wa bajaji akupeleke lodge iliyopo Jirani siyo hotel.

Hapohapo Mbezi Louis kuna route za mwendokasi zinaanzia kwenye terminal ya Mbezi Louis uliza line ya mwendokasi Kata ticket za kariakoo shuka Msimbazi karibu na klabu ya Simba tayari upo kariakoo.

Kama ndio Mara ya kwanza kuja Dar ni bora umlipe mtu pesa kidogo akuzungushe kariakoo uwokowe muda na pesa zako ufunge mzigo Urudi zako mapema.

Je unakwenda kariakoo kufunga mzigo gani?
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.

Duh asa ukifika kariakoo pia unaweza jikuta unapotea
Vipi ulipe mtu akuzungushe walau

Kuanzia kukupokea then akufate asubuh kwaajili ya mizunguko akueleze tu njia kuu
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
guest nenda MNAZI MMOJA, siku ya kwanza ukishuka chukua Bda hadi pale watakuchaji 3k sababu watakubeba ndani ya stend , akikifikisha chukua namba yake kesho mwambie akupeleke mwendokasi stand upande za gerezani nadhan ni 1250 sina uhakika lakini boda itakuwa buku tu , ni pakutembea sema wewe panda boda uchore mazingira, hayo mengine hiace sijui hayapo , pia kuuliza uliza sio jambo jema at least nenda kwa maduka au sehemi za chukula zugazuga na maswali at least utakuwa salama ukijichanganya utapigwa
 
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Kama ntakua nimekuelewa vizuri utakua unazungumzia transporter hapa🤔🤔kwa njombe ipo transporter inaitwa njombe transporter ulizia mataa ya kamata, fuata bara bara inayoelekea uwanja wa ndege tembea kama viwanja viwili vya mpira kulia kwako utaona geti jeusi imeandikwa Super feo zama humo
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏

1. Tumia akili yako vizuri sana.
2. Angalia usije geuzwa fursa.

Tafuta Guest maeneo hayo hayo ya Stand/kimara, mapema tafuta mwendo kasi.

Huna haja ya maelekezo, ukitumia akili vizuri kuuliza na kukwepa kugeuzwa fursa utagundua hupaswi uliza huku jamii forum.
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
Nipe tenda nikupokee, ulale, kesho yake nikuzungushe, ufunge mzigo, kisha nikusindikize, uko tayari?
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.
Download bolt.
Kuhusu sehemu special yenye maofisi ya mabasi kutuma mizigo mkoani nadhani ni urafiki na shekilango hadi ubungo.
Ila hata huko kkoo nadhani kuna maofisi yao
NB;angalia usije kupotea kkoo
 
Back
Top Bottom