dhati

Dhatki (धाटकी; ڍاٽڪي), also known as Dhatti (धत्ती; ڍاٽي) or Thari (थारी; ٿَري), is one of the Rajasthani languages of the Indo-Aryan branch of the Indo-European language family. It is most closely related to Marwari.

View More On Wikipedia.org
  1. Tman900

    Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  2. Tlaatlaah

    Tamaa na haja za kimwili zikiisha upendo wa dhati ama usio wa kweli hujidhirisha bayana

    Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo. na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru huchochea sana watu wengi kujielaza kwa uongo na kweli, na kuwashawishi wenza wao hata kwa fedha na...
  3. G

    Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

    Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
  4. Engager

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  5. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  6. Bams

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  7. J

    Kwa moyo wa dhati kabisa naomba radhi kwa kuikejeli na kuidharau Yanga

    Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za...
  8. uttoh2002

    Hii nchi Haitujali kwa Dhati

    Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) : 1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...
  9. Ricky Blair

    Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

    Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu...
  10. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  11. MamaSamia2025

    Unyonge wa Walimu unaanzia mbali. Inahitaji muda na jitihada za dhati kuumaliza

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Siku hizi imekuwa kawaida unatazama TV mara unaona muokota makopo akijisifia kuwa kazi yake inamlipa kuliko hata ya ualimu. Hujakaa vizuri unakuta mwenyekiti wa kijiji naye anawapa amri waalimu ili mradi tu mwalimu aonekane sio lolote. Unaingia FB unakuta...
  12. olimpio

    Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  13. MamaSamia2025

    Kwa dhati kabisa tuwakumbuke wafuatao kwenye sala na dua zetu

    Tuwaombee; 1. Watu wote wanaopambana na magonjwa mbalimbali au majeraha ya ajali. Mungu awape nafuu na warudi kwenye hali zao kawaida. 2. Watu wote wanaohudumia wagonjwa. Wasikate tamaa na waweze kumudu gharama za matibabu ya wapendwa wao. 3. Watu wote wanaopambana na madeni. Mungu awatie...
  14. Tlaatlaah

    Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote. Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata...
  15. Crocodiletooth

    Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

    This is fact and realitity! Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
  16. K

    Pongezi za dhati kwa Yanga na Simba, mmetuheshimisha!

    Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa. Simba Wakiwa kwenye Kiwanja Cha Levy Mwanawasa Mjini Ndola imeweza Kuituliza Timu ya Power Dynamo ya Zambia Katika...
  17. M

    Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  18. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atoa shukrani za dhati kwa Wananchi wote wanaoendelea kuchangia Oparesheni 255, aahidi Ukombozi

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo. Ujumbe wake huu hapa...
  19. Billie

    Serikali binafsisheni TANESCO sio Bandari

    Umeme,maji na internet ni nyezo zinazofanya vijana wengi wajiajiri na sector binafsi zikue. Cha ajabu mnaenda kubinafsisha Bandari ambayo raia wa kawaida haelewi atanufaikaje na ubinafsishaji huo. Raia tusio na upeo tunajiunga kupinga ubinfsishaji wa bandari yetu hata kama huo mkataba...
  20. P

    Kila mtu aliyekusudia kumjua Mungu na mambo yake kwa dhati, Mungu humfanyia hiki...

    Atafanya juu chini kuhakikisha hiyo nia yako njema inatimia. Watu wengi wanateseka kwa sababu wameingia katika nyumba za sala lakini hawako siriasi na Mungu kama anavyotarajia. Hivyo wengi wameachwa wajiendee wanavyotaka. Mifano ya watu waliokuwa na usiriasi na Mungu hata kama hawana uhakika...
Back
Top Bottom