Search results

  1. M

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    Leo hii watu mnalalamika kuhusu wachaga na tabia zao. Amini nawaambieni tamaa za hawa jamaa hazijaanza leo au jana. Tangu enzi za mangi mareale alimsaliti mwalimu wakati wa kupigania uhuru. mwalimu akisema hivi yeye anakwenda kuchongea kwa wakoloni kiasi kwamba akafanya shughuli nzima ya...
  2. M

    Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

    Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja. Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu. Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote njenje. Ukikaa sasa ndo balaa...unatupiga picha abiria wenzio hadi tunapitilizwa vituo bila...
  3. M

    Unalalaje?

    Kuna staili nyingi za kulala. Sasa wewe unavolala unalalaje? Kifudifudi, chali, kiubavu (kulia au kushoto), unajikunja au unajikunyata?
  4. M

    Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

    Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali. Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia. Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
  5. M

    Nimependwa na askari jeshi wa kike!

    Mwenzenu askari jeshi wa kike amenipenda na anataka nimuoe. Nifanyeje? Ushauri wenu tafadhali.
  6. M

    Magwiji mmu na multi-id's

    Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea. Na kila moja ina matumizi yake. Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia. Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja...
  7. M

    Akina mama siku hizi....mitego tupu!

    Nimekaa sehemu najaribu kuifukuza wikiendi. Mara anatokea mama mmoja mtu mzima hivi takribani wa miaka 50. Japo amekwenda age lakini anaonekana amenona pengine kutokana na matunzo. Akakaa karibu ya meza niliyokaa mimi. mavazi sasa...! Amevaa kipedo cheupe chepesi...basi nguo ya ndani yote ipo...
  8. M

    Swali la jumatatu...linahitaji majibu!

    Hivi mumeo/mkeo anaweza kuwa rafiki yako katika mitandao ya kijamii hasa facebook? Kumbuka mnaishi wote nyumbani.
  9. M

    Msaada wa haraka wana mmu

    Nataka kuacha pombe. nimejitahidi lakini nashindwa. hali ya maisha imekua ngumu halafu nakosa muda wa kukaa na familia. naombeni msaada wenu nifanyeje ili niache pombe? Niko siriaz wakuu.
  10. M

    Kwa watu wa kilimanjaro....

    Hata anayekwenda Hai, Same, Mwanga, Siha, Rombo...bado atakwambia anaenda moshi. ina maana jina lingine la mkoa wa kilimanjaro ni moshi? hapana. Halafu mbona kuna umbali mkubwa kati ya moshi na maeneo hayo mengine hapo juu. Tafadhali taja jina halisi la mahali unakokwenda. Vilevile hakuna...
  11. M

    Wanawake hampendani.

    Kutwa kucha kusengenyana na kusemana vibaya. Kuoneana wivu na kijicho. Kusingiziana mambo mabaya na yasiyo ya kweli. Kuombeana mabaya. Kuchukuliana waume/mabwana/wapenzi. Huku mnajifanya marafiki mlioshibana, mioyoni wanafiki.
  12. M

    Wanawake kuweni wasafi basi!

    Nimepanda daladala, Imejaa kupita kiasi, Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada, Kisura anaonekana si haba, Kidevu kimejaa ndevu, Ameshika bomba kama mimi, Amevaa kitopu, mikono juu, Jasho chepechepe, manyoya kibao, kikwapa tena ndo usiseme. Kitop kimepanda juu, G-string njenje, imefubaa hiyo...
  13. M

    Ijumaa ndo hiyooo.........cheki hapa!

    Wakuu, Hayawi hayawi yamekuwa, Ijumaa ndo imewadia, Na kwa kuwa wikiend hii imenikuta nikiwa huku ugenini, basi leo natarajia kuwemo ndani ya Hotel de Continental, Pale kwenye kanga moko..... Mwana jf/mmu yeyote anayetarajia kuwepo pale leo basi anicheki kwa pm kuanzia sasa, Mwisho wa pm ni...
  14. M

    Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

    Alikuwa na kazi yake nzuri. Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu. Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna majamaa kibao. Sikuwa na imani. Nimemwachisha kazi sasa amepumzika nyumbani, nikirudi namkuta. Ndio...
  15. M

    Nimeathirika...nataka kula kila siku.

    Msaada wa haraka. Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au? Naombeni msaada wenu waungwana.
  16. M

    Amekasirika. Kisa...nimemuuliza "wataondoka lini"

    Baada ya majonzi ya takriban wiki nzima ya mpendwa wetu RM, ndugu yenu mitishamba nimerudi tena. Huwa siishiwa mikasa, na mara nyingi huwa naongelea mambo yaliyonikuta ama kuyashuhudia. Mimi na mke wangu tumekuwa tukiishi maisha ya kawaida ya ndoa (furaha, huzuni, mikasa na kutoelewana wakati...
  17. M

    Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

    Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa. Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi...
  18. M

    Siri ya chupi!

    Hili vazi linashangaza kweli! Dukani linauzwa hadharani. Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri. Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini. Linaficha siri. Linafuliwa na kuanikwa kwa siri. Linapochakaa linatupwa kwa siri. Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
  19. M

    Hedaru inaongoza kwa ngono Tanzania!

    Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo. Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini. Tulipofika Hedaru mida ya saa 8 mchana ilibidi tupumzike kwa ajili ya kupata chakula na ku-retreat. Cha...
  20. M

    Krismass ndo hiyoooo, mmu naombeni mwaliko

    Jamani mimi ni mwana mmu mwenzenu. Xmass mpango mzima ukoje?
Back
Top Bottom