Krismass ndo hiyoooo, mmu naombeni mwaliko

mpango mzima kuchangia waliopata mafuriko kule jangwani jaman,unawezaje kusheherekea wakati wenzetu wanalia,wanalala nje,ni mtazamo
 
we umesaidia wangapi? mnapenda sana kuongea kwenye keyboard na kujipa masifa yasiyo stahiki.
 
karibu kwangu kuna matimba, mkangaru na somba, bila kusahau ulanzi wa kutosha, ushindwe wewe tu...
 
njoo kwangu kula kunywa mpaka kusaza ila utakubali nikufanye nitakacho mm na sehemu yoyote nitakayo mm upo mkuu
 
Back
Top Bottom