Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

mitishamba

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
697
111
Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
 
"Mama Sia, vaa kodulai, tumevamiwa hapa."

Huyo ni jamaa akimsihi mkewe avae nguo za kiume baada ya majambazi kuingia nyumbani kwao.
 
mkubwa Kisaikologia utakua huko sawasawa, ukitongoza ujue kuna motive(kiu) ya kupata kitu flani na huwezi kupata raha hadi kiu hiyo iwe satisfied!
 
Nimekwambia anakuwa amekuepusha na mambo mengi sana, hujui hilooo?
 
Sasa ankol,n sawa nakusema,..unaponanhii usipojojoa unaenjoy kuliko ukijojoa..sasa kwanin utongoze? Af cdhan kama mara zote ukitongoza unakataliwa,jitahd kuwa na kamcmamo japo kidoogo,.ok?
 
Dah na wewe kweli unaleta kali....
Sasa lengo la kutongoza ni nini?
 
Wewe nadhani sio mtu wa kawaida na inawezekana utakuwa una matatizo ya kisaikolojia maana sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kufurahia kukataliwa na mwanamke. Nakushauri uende kwa Psychiatrist ili aweze kukushauri na kukusaidia kuondoa hilo tatizo lako.
 
kwa hiyo bora bi kukubaliwa halafu ukamuliwe kama malima na kuachiwa migonjwa.
 
Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
Nataka kukomenti lakini ebu nieleze hapo kwenye colour ni yapi hayo.
 
Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......

sasa si uache kutongoza kabisa ili uepuke hayo mambo kabisa??
 
mkubwa Kisaikologia utakua huko sawasawa, ukitongoza ujue kuna motive(kiu) ya kupata kitu flani na huwezi kupata raha hadi kiu hiyo iwe satisfied!

kweli jamaa kama vile hajielewei naona he he he he he
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom