mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Hata anayekwenda Hai, Same, Mwanga, Siha, Rombo...bado atakwambia anaenda moshi. ina maana jina lingine la mkoa wa kilimanjaro ni moshi? hapana. Halafu mbona kuna umbali mkubwa kati ya moshi na maeneo hayo mengine hapo juu.
Tafadhali taja jina halisi la mahali unakokwenda.
Vilevile hakuna wachaga bali kuna warombo, wasiha, wamachame, wakibosho n.k.
nipo napata brekfasti ya mchana.
Tafadhali taja jina halisi la mahali unakokwenda.
Vilevile hakuna wachaga bali kuna warombo, wasiha, wamachame, wakibosho n.k.
nipo napata brekfasti ya mchana.