Msaada wa haraka wana mmu

mitishamba

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
697
111
Nataka kuacha pombe. nimejitahidi lakini nashindwa. hali ya maisha imekua ngumu halafu nakosa muda wa kukaa na familia. naombeni msaada wenu nifanyeje ili niache pombe?

Niko siriaz wakuu.
 
Anza kunywa MALTA za Bakhressa, zina ladha kama ya Pombe, naona zitakufariji kidogo....................LOL
 
Sasa wewe unataka kuacha pombe ili iweje??? (Hapa najua madongo yatakuja kibao)

Hebu kunywa kwa kiasi sio kulewa halafu unawahi kurudi home
 
Sasa wewe unataka kuacha pombe ili iweje??? (Hapa najua madongo yatakuja kibao)

Hebu kunywa kwa kiasi sio kulewa halafu unawahi kurudi home

tatizo nikianza moja inazaa nyingine...nikija kutahamaki nimebaki peke yangu na bar inafungwa. niko kwenye mateso mwenzenu
 
sibagui wala sichagui, chochote kitakachotokea
mimi nakushauri uachane na marafiki wanywaji,
pili tafuta marafiki ambao hawatumii pombe,
Uwe na vitu vya kufanya ili uwe busy, kama waweza unaweza kutafuta coz ya kujiendeleza ambayo itakufanya uwe busy.
 
nashukuru kwa ushauri, japo hayo yote nimeshajaribu sana kufanya lakini unakuta navumilia hadi saa mbili usiku najikuta nasogelea kilaji
 
Kama uko Dar, nilisikia pale Bahai Center huwa wanaendesha program za AA na SLAA, unaweza kupitia hapo kusikia program zao zikoje.

AA = Alcohol Anonymous
SLAA = Sex and Love Addicts Anonymous
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom