Hedaru inaongoza kwa ngono Tanzania!

mitishamba

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
697
111
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini.
Tulipofika Hedaru mida ya saa 8 mchana ilibidi tupumzike kwa ajili ya kupata chakula na ku-retreat. Cha kushangaza mida ya mchana hatukuona watu wengi kivile.

Ilipofika saa kumi na moja jioni tukashangaa kuona watu wa rika mbalimbali mitaani wengi wao wakiwa wa jinsia ya kike. Kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo idadi ya watu ilivyokuwa inaongezeka tena safari hii wakiwa katika pair. Usiku sasa ndio ukawa kama mchana. Gesti zote zilikuwa zimejaa. Pale tulipofikia dustbin zote zilikuwa zimejaa mipira iliyotumika, kwa makadirio tu ilikuwa si chini ya ndoo mbili.
Nilijaribu kumwuliza jamaa mmoja mwenyeji wa pale inakuwa hii, jamaa akasema hii ndo Hedaru bwana! Mchana watu wanalala, usiku ni majambozi kwa kwenda mbele.

Nilitamani asubuhi ifike haraka, na kulipokucha tu niliwasha lori niwahishe mzigo wa watu.

Lakini kiukweli: Hedaru inaongoza kwa ngono!
 
Mitishamba ngono mkuu imeshika hatamu ile mbaya! kila sehemu na kila kona hasa humu mijini.... Ni hii imechangiwa na:

  1. Umri wa kuanza kufanya Mapenzi kupungua.... Sasa hivi mika 13 na kuendelea ni idadi kubwa mno
  2. Kuongezeka kwingi kwa vitu vya kurahisisha ushawishi wa kufanya ngono na urahisi wa kukutana... Hasa technologia e.g Simu za mkononi.
  3. Maadili kushuka mno... Jamii imeanza kuona kawaida mtoto mdogo kujiiingiza katka maswala ya ngono, mpaka wakimuona anajichanganya huko mtaani - they no longer care.... Sad.
  4. Tamaa nyingi saana hasa kwa vijana wadogo wanao kua hasa kwa kutaka kuishi maisha beyond uwezo wao.
  5. Imekua kama fashion... Mke anatoka nje na hawara.... Mume atoka nje na hawara.... Kwa raha zao....
 
Hapo kwenye namba 1, nani kaupunguza huo umri?
 
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini.
Tulipofika Hedaru mida ya saa 8 mchana ilibidi tupumzike kwa ajili ya kupata chakula na ku-retreat. Cha kushangaza mida ya mchana hatukuona watu wengi kivile.

Ilipofika saa kumi na moja jioni tukashangaa kuona watu wa rika mbalimbali mitaani wengi wao wakiwa wa jinsia ya kike. Kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo idadi ya watu ilivyokuwa inaongezeka tena safari hii wakiwa katika pair. Usiku sasa ndio ukawa kama mchana. Gesti zote zilikuwa zimejaa. Pale tulipofikia dustbin zote zilikuwa zimejaa mipira iliyotumika, kwa makadirio tu ilikuwa si chini ya ndoo mbili.
Nilijaribu kumwuliza jamaa mmoja mwenyeji wa pale inakuwa hii, jamaa akasema hii ndo Hedaru bwana! Mchana watu wanalala, usiku ni majambozi kwa kwenda mbele.

Nilitamani asubuhi ifike haraka, na kulipokucha tu niliwasha lori niwahishe mzigo wa watu.

Lakini kiukweli: Hedaru inaongoza kwa ngono!

Mkuu, kwani wewe si taayri ulishachukua chumba, ulijuaje kama Guest zote hedaru zimejaa? au truckers kama wewe mlifurika kwa ajili ya huo Uhondo wa hedaru?
 
nimeshasahau hii hedaru iko njia gani, tukumbushane tafadhali
 
.....................Pale tulipofikia dustbin zote zilikuwa zimejaa mipira iliyotumika, kwa makadirio tu ilikuwa si chini ya ndoo mbili.................

Huo ujazo ni wa kile kimiminika au kimiminika pamoja na mipira.

Bado harubini yangu inashindwa kunasa picha ya ujazo huo. Maana sina uhakika kama ulichunguza guest zote au hiyo uliyolala wewe tu. na kama ni hiyo ulolala wewe pekee, basi hapo wanaume wanajua kazi kweli kweli, sio mchezo wakazi wake kweli wanajua kuwasha moto. Ndoo mbili, mweeeeeee! sio bure lazima both males and females watakuwa wanalipwa kwa kazi hiyo
 
Mkuu mi sijaelewa hapo uliposema nukuu "mlikua mkipeleka mzigo wa thamani kubwa" mwisho nukuu.
Mantiki yake nini na thread main agenda ? Inatusaidia nini wachangiaji wewe kubeba mzigo wa thamani ndogo au kubwa ?
 
Huo ujazo ni wa kile kimiminika au kimiminika pamoja na mipira.

Bado harubini yangu inashindwa kunasa picha ya ujazo huo. Maana sina uhakika kama ulichunguza guest zote au hiyo uliyolala wewe tu. na kama ni hiyo ulolala wewe pekee, basi hapo wanaume wanajua kazi kweli kweli, sio mchezo wakazi wake kweli wanajua kuwasha moto. Ndoo mbili, mweeeeeee! sio bure lazima both males and females watakuwa wanalipwa kwa kazi hiyo

Kwa kweli hata mimi nina wasi wasi na huu utafiti wa juu juu. The data is alarming.....
 
Hapo kwenye namba 1, nani kaupunguza huo umri?

Ni swali gumu saana.... Tulaumu wazazi/walezi? Tulaumu wanaume ambao ni mafataki? Tulaumu watoto? Tulaumu Ugonjwa wa Ukimwi - gonjwa lilo changia kuongeza idadi ya mayatima? Tulaumu uongozi/serkali kwa kua wazembe kuahakikisha welfare ya youth kwa kuboresha na kukagua escalaters? Tulaumu jamii kwa kuacha kujali? Nani hasa wa kumlaumu na hali Vyo/woote hao in one way or another wamechangia hilo swala?

Kama nilivosema Mitishamba.... Ni swali gumu saana kujibu.
 
Mkuu, kwani wewe si taayri ulishachukua chumba, ulijuaje kama Guest zote hedaru zimejaa? au truckers kama wewe mlifurika kwa ajili ya huo Uhondo wa hedaru?

Mbona jibu hapo liko too simpo! Refar username yake, yeye "MITI" anapigia "SHAMBA" kwa hiyo hapo gest hakua busy ndiyo maana akayaona mengi !.
 
Umeenda hedaru umesema hivi, ukienda Tunduma utasema vile.(High ways)
Ukienda kambi ya fisi utasema vile ukienda kwa macheni utabadili mtizamo.(commercial sex workers)
Ukienda visiwa vya wavuvi utasema hivi ukienda machimbo napo waweza badili mtazamo (isolated groups)

Behavior za watu na mazingira bila research haukonkludi.
 
Mkuu, kwani wewe si taayri ulishachukua chumba, ulijuaje kama Guest zote hedaru zimejaa? au truckers kama wewe mlifurika kwa ajili ya huo Uhondo wa hedaru?

na yeye alikuwa mmoja wao kwenye kujaza zile ndoo mbili za ndomu..
 
Umeenda hedaru umesema hivi, ukienda Tunduma utasema vile.(High ways)
Ukienda kambi ya fisi utasema vile ukienda kwa macheni utabadili mtizamo.(commercial sex workers)
Ukienda visiwa vya wavuvi utasema hivi ukienda machimbo napo waweza badili mtazamo (isolated groups)

Behavior za watu na mazingira bila research haukonkludi.

ndivyo watanzania tulivyo kwenye kukonkludi..
 
LAKINI MIE MBONA SIONI KITU KIBAYA HAPO? kwani walikuwa watoto wadogo? si wakubwa wazima wanaojuwa baya na zuri, ?wameamua kiuridhisha nafsi zao tena wanatumia na kinga kabisa. hapo ni raha utamu kwa kwenda mbele maisha yanaenda:lol: tatizo liko wapi?:eyebrows:
 
Back
Top Bottom