Search results

  1. G

    Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

    Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru sana kwa msaada!!!
  2. G

    Balozi wa Tanzania nchini malawi akana kufukuzwa!!!

    Balozi wa Tanzania amekana taarifa zilizosambaa kwamba kapewa masaa 48 kwamba anatakiwa aondoke nchini kwao kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu Balozi PATRICK TSERE amekanusha uvumi huo.
  3. G

    Jinsi ya kusave video downloaded from internet

    jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani mbele..................
  4. G

    Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

    WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
  5. G

    Breaking news: Tetesi yanga yamtimua kocha mkuu wake

    habari ambazo bado hazijadhibitishwa rasmi na uongozi wa yanga africans ni kuwa kocha mkuu wa timu hiyo TOM SANTIEF nae pia ametimuliwa baada ya kuwasimamisha kazi secretariet nzima ya timu hiyo.
  6. G

    ajinyonga baada ya mwanae kufariki kwa kukosa huduma hospitalini!

    mwanamke mmoja amejinyonga jiran na ofisi ya mganga wa hospitali ya wilaya ya geita baada ya mwanae kufikishwa hospitali na kushindwa kupewa huduma stahik na hvo kupelekea mwanae kufariki-source rfa matukio
  7. G

    umuhimu wa maafisa uhamiaji katika vitambulisho vya taifa!!

    katika zoezi la usajili wa vitambulisho vya taifa linaloendelea hapa jijini Dar es salaam imeonekana watu wengi ambao sio raia wa Tanzania wanapeleka kadi ya kupigia kura kama kiambatanisho wakati sio raia wa Tanzania wala hawaishi kwa vibali na maafisa wa NIDA inawawia vigumu sana kuwatambua...
  8. G

    hatimae polisi na magereza waongezewa posho ya chakula.

    akisoma hotuba ya bajeti mh nchimbi ametangaza kuongeza posho ya chakula kwa jesh la polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto kutoka 100,000 hadi 150,000
  9. G

    modemu ya mtandao gani ni nzuri kwa matumizi!!

    samahani ni modemu ya aina gan n nzuri kwa matumizi ya laptop!
  10. G

    leo najivua gamba rasmi mbele ya mh kasulumbai hapa nzega katika M4C!

    kutoka uvunguni kabisa wa moyo wangu na kwa nia ya dhati kabisa bila kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua kuvua gamba na kuvaa gwanda katika mkutano mkubwa utakaohutubiwa na mbunge wa maswa magharibi mh silvester kasulumbai.wanamabadiliko wenzangu mnipokee(M4C DAIMA)
  11. G

    customer care tanesco vp?

    hawa jamaa ni wa*** unawapigia simu unawaambia unashida wanakwambia usubiri usikate simu wakati customer care yao sio bure ni ya kulipia.mtu akitoa shida yake tatueni haraka
  12. G

    Napendekeza wimbo huu utumiwe na chadema katika MV4C!

    nimeusikiliza kwa makini wimbo wa sarafina freedom is coming tommorow nimeona ni vizuri ukatumiwa na chadema katika mv4c!
  13. G

    kucheki mpira kupitia simu

    samahan wadau kwa topic hapo juu nipo mbali na ving'amuzi so nawezaje kuangalia mpira kupitia simu yangu ya nokia
  14. G

    Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Sumbawanga mjini!!

    mbunge wa sumbawanga mjini ubunge wake kutenguliwa kama godbles lema! hukumu ya kesi ni leo,.
  15. G

    ratiba ya bunge!!!

    samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp???
  16. G

    hii kero NMB MKWAWA BRANCH hadi lini??

    kati ya matawi ya nmb tanzania yenye huduma mbovu ni tawi la nmb mkwawa branch iringa hamna utaratibu mzuri wa kupata huduma kwa haraka.haiwezekani kukaa katika folen masaa matano.rekebishen hilo
  17. G

    hivi hizi website za wizara hasa wizara ya mambo ya ndani vp??

    nimekuwa nikifatilia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani kwa muda mrefu sasa sijaona updates yoyote e.g ukifungua upande wa vacancy hamna lolote wakati hapo majuzi idara inazosimamia zimetangaza ajira mfano magereza na uhamiaji. hivi hawa IT SPECIALIST wapo pale kwa ajili ya kazi gan?
  18. G

    Renatus mkinga ndani ya malumbano ya hoja

    mwanaharakati mkinga ndan ya itv live katika mada ya kudhibiti wahamiaji haram jamaa yuko deep kuliko maafisa uhamiaji je alishawahi kuwa afisa uhamiaji?
  19. G

    ni kweli anaweza kujiua!

    naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel...
  20. G

    Noel mwakalindile ni nouma!

    Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!
Back
Top Bottom