Kwa usaliti huu ntajifikiria sana

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
 
Mkuu usioe kabisa, kwani wahenga husema, ''mla vya wengine na vyake huliwa". Tena vyako utakuta wakizibua mtaro au mguu mmoja uko kwenye dirisha moja na wa pili kwenye dirisha la pili. Nonsensi na matabia yako ya kutoka na wake za watu.
 
WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
Mwenzenu sijui ni ushamba, sijawahi kukubali matumizi ya hili neno...Zamani nilifikiri linatumika kwa wasichana ambao hawajaolewa na wapo below 30 hivi kumbe hata wake za watu nao ni mademu? Na Bibi wa miaka 60 naye ni demu? Siku nyingine mtawaita Mama zetu (na wenu pia) Mademu, lol!! Samahanini kwa ushamba wangu nilikuwa natafuta pa kutolea hili donge na leo hatimaye nimepata nafasi hapa. Back to the topic..Huyo Shemeji yako (Mke wa Mwanaume mwenzio) au "demu" kama ulivyomwita alikufuata au wewe ndio ulimfuata? Mimi nikija kamata mtu ananiibia Mke lazima nimfanyie castration ili asiendelee kutamani wake za watu. Brother "do unto others as thy wanteth others to do unto you" Full stop!
 
Wasaliti wako hivyo kila mwahali iwe ndowa siasa hata maisha ya kawaida. Na yule anaewafuata wasaliti basi nae mwenyewe hawezi na wala hajui kujiepusha na usaliti. Munugu amesema kuwa mzinzi ataowa mzinzi mwenziwe nawe ukijitia kuwafuata wake za watu panda shuka lakini utajikuta umeganda kwa taipu hiyo. Chunga sana kijana,"Mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea"
 
WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi
Masifa ya kijinga
 
Mwenzenu sijui ni ushamba, sijawahi kukubali matumizi ya hili neno...Zamani nilifikiri linatumika kwa wasichana ambao hawajaolewa na wapo below 30 hivi kumbe hata wake za watu nao ni mademu? Na Bibi wa miaka 60 naye ni demu? Siku nyingine mtawaita Mama zetu (na wenu pia) Mademu, lol!! Samahanini kwa ushamba wangu nilikuwa natafuta pa kutolea hili donge na leo hatimaye nimepata nafasi hapa. Back to the topic..Huyo Shemeji yako (Mke wa Mwanaume mwenzio) au "demu" kama ulivyomwita alikufuata au wewe ndio ulimfuata? Mimi nikija kamata mtu ananiibia Mke lazima nimfanyie castration ili asiendelee kutamani wake za watu. Brother "do unto others as thy wanteth others to do unto you" Full stop!

kwa kweli frankly speaking sikuwa nafahamu kama ni mke wa mtu hadi tulipokuwa chumbani na kupigiwa simu na huyo bwana ake sasa kutokana na maongezi waliyokuwa wanaongea ndio nikagundua ni mke wa mtu na baada yakumuuliza alikiri
 
Hapo hukuwa na hatia... siku hizi watu hasa wanawake wakiwa mbali na waume zao wanavua pete ili kuficha kama ni wake za watu. Hapo kosa ni la mwanamke
 
Alimdanganya nn mumewe? Funguka basi kidogo tujue extent ya uongo huo.
 
wewe kula K hiyo mwanawane...huyo mjinga wacha adanganywe tuu

agekuwa mke wako au ungekuwa ni wewe unatendewa hivyo ungejifikiriaje? msijisifie sikuhizi wengi wanaweka vitu vyao unaweza acha kitu ndani au kung'ang'ania kuweni makini kama sio hivyo unaiona afya inazoofika kumbe jamaa kesha maliza kazi kuweni makini na sikuleta ujinga kama huu wa kusifiana
 
WADAU siku ya jana nilikuwa na demu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu ila huyo jamaa akealisafiri sasa kuna muda jamaa ake akampigia simu yule demu duh jamaa alivyodanganywa ni noma aisee imeniogopesha sana na kunifanya nijifikirie mara mbilimbili kuoa ama kutooa kumbe kwenyendoa ndo kupo hivi

chukulia ni wewe ndio mkeo anafanywa hivyo na jamaa ungejisikiaje? pole maana naona hata utoto unakusumbua sana ipo siku utajuta
 
unajiona mjanjaaaaa! Mpenda vya watu....mke wa mtu sumu kijana...watakuwowa shauri yako
 
Back
Top Bottom