hivi hizi website za wizara hasa wizara ya mambo ya ndani vp??

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
nimekuwa
nikifatilia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani kwa muda mrefu sasa
sijaona updates yoyote e.g ukifungua upande wa vacancy hamna lolote wakati hapo majuzi idara inazosimamia zimetangaza ajira mfano magereza na uhamiaji. hivi
hawa IT SPECIALIST wapo pale kwa ajili ya kazi gan?
 
umesahau kuwa tanzania huwa tunafanya vitu kwa kuiga tu lakini si kwa huduma. utakuta walimleta kibarua akawatengeneza kisha akaondoka halafu hakuna anyejua hata pswd ili aingize data hapo ndani. lakini bajeti ikija it depatment mamilioni. kumbe wizi mtupu
 
Back
Top Bottom