Napendekeza wimbo huu utumiwe na chadema katika MV4C!

Taifa lina wimbo wake kwani tulipata uhuru 09/12/1961 ....... huo cdm utakuwa na mantiki gani,,,, acha kuiga tu kama miziki bongo fleva, ( waige kina Baraka Mwinshehe , sikinde et......),,,,,........
 
Taifa lina wimbo wake kwani tulipata uhuru 09/12/1961 ....... huo cdm utakuwa na mantiki gani,,,, acha kuiga tu kama miziki bongo fleva, ( waige kina Baraka Mwinshehe , sikinde et......),,,,,........

kwani amependekeza uwe wimbo wa taifa..mwaka huu msipo vaa chupi vichwani....
 
Naomba kufahamu Account namba ya M4C kama mtu atahitaji kutupia kachochote kama mchango wake kwa chama chake; nimeulizwa hii kitu jana na mdau mmoja anaonyesha kuzikubali sana jitihada za CDM ktk ukombozi wa Taifa hili.
 
Toa jibu la maaana achaga maneno makali aiiise, wimbo wa sarafina unaujuaaaa??? Freeeeedooom is commming tommmmorrowww,,,,,,<< sisi tushapata uhuru je tuige na wa sarafinaaaa???? ,,,,,,,,,,
 
hilo song lilipigwa hapa furahisha mwanza ni noma,naona hata makamanda huwa wanalikubali coz wanalitumia sana.
 
Tunahitaji clear, patriotic, and bold statements addressing our problems and people mobilization towards solution. That's all. Mambo ya ngoma na mziki yanawafaa zaidi magamba kwa sababu hawana sera za maana za kuwaeleza wananchi. Wimbo wa taifa na chache zilizopo zinatosha.

Tunahitaji kusikia suluhisho la ufisadi, uporaji wa rasilimali, madaraka ya nchi kuhodhiwa na "wateule" wachache tena kifamilia zaidi, elimu yetu inadorora, kilimo muflisi, umasikini uliotia kambi nchini utaondokaje, ardhi, maji, huduma za afya zilizosambaratika, usafiri - reli, anga, n.k. n.k. n.k. Haya ndio mambo yanayopaswa kuwaumiza vichwa wanasiasa na wananchi makini na sio habari ya kuzungusha viuno!
 
Taifa lina wimbo wake kwani tulipata uhuru 09/12/1961 ....... huo cdm utakuwa na mantiki gani,,,, acha kuiga tu kama miziki bongo fleva, ( waige kina Baraka Mwinshehe , sikinde et......),,,,,........
mkuu,,si vibaya kuiga kama kuna tija,, kugusa hisia za watu,, wa tz ndivyo tulivyo,,,ushaona nyimbo mpya za kuendeshea ibada,,,,,teuzi za nafsi ,,nyimbo za injili au luturujia mpya,,,,,zenu za bongo ubongo wa fieva zinachujakila secunde,,,,,,vita ni vita kila silaha ni muhimu niwahimize vijana kutunga nyimbo za kutia ujasiri ukombozi kwa kueleza mateso yetu kwa hisia halisi,,,,,,,
 
Yapo mengi mazuri ya kuigwa kutoka kwa wenzetu, acha kukurupuka.
Hiyo ID kikwetu ina maana muhimu na jema sana lakini naona unaiaibisha.

Tatizo lenu nyie mnatumiwa kama Kondomu na ccm kiasi cha kupofuka akili.
Taifa lina wimbo wake kwani tulipata uhuru 09/12/1961 ....... huo cdm utakuwa na mantiki gani,,,, acha kuiga tu kama miziki bongo fleva, ( waige kina Baraka Mwinshehe , sikinde et......),,,,,........
 
YEAH!! DATZ TRUE MAN "FREEDOM IS COMING 2MORROW" kweli UHURU 2mepewa but kuna UHURU 2naukosa kutokana na hawa MAGAMBA Kufanya huu UHURU 2lionao kujinufaisha wenyewe"
 
Tunahitaji
clear, patriotic, and bold statements addressing our problems and
people mobilization towards solution. That's all. Mambo ya ngoma na
mziki yanawafaa zaidi magamba kwa sababu hawana sera za maana za
kuwaeleza wananchi. Wimbo wa taifa na chache zilizopo zinatosha.

Tunahitaji kusikia suluhisho la ufisadi, uporaji wa rasilimali, madaraka
ya nchi kuhodhiwa na "wateule" wachache tena kifamilia zaidi, elimu
yetu inadorora, kilimo muflisi, umasikini uliotia kambi nchini
utaondokaje, ardhi, maji, huduma za afya zilizosambaratika, usafiri -
reli, anga, n.k. n.k. n.k. Haya ndio mambo yanayopaswa kuwaumiza vichwa
wanasiasa na wananchi makini na sio habari ya kuzungusha
viuno!

lakini pamoja na hayo yote kamanda kuna kundi kubwa la vijana ambao inabidi tuwateke kwa nyimbo za kuwahamasisha na kuwa na kuwa na hisia kali juu ya utawala uliopo madarakani.
 
Naomba kufahamu
Account namba ya M4C kama mtu atahitaji kutupia kachochote kama mchango
wake kwa chama chake; nimeulizwa hii kitu jana na mdau mmoja anaonyesha
kuzikubali sana jitihada za CDM ktk ukombozi wa Taifa hili.

subiri mkuu wenye nayo watakujuza hapahapa
 
Taifa lina wimbo wake kwani tulipata uhuru 09/12/1961 ....... huo cdm utakuwa na mantiki gani,,,, acha kuiga tu kama miziki bongo fleva, ( waige kina Baraka Mwinshehe , sikinde et......),,,,,........[/QfricaUOTE]

Acha hizo wewe, hujui tone ya wimbo wa TZ ina fanana na ule wa Zambia, South A..........! Sasa huo ni upuuzi gani jamani? Mimi napendekeza nchi ikipata uhuru tutumie huu hapa:

Tazama ramani utaona nchi nzuri,...................
utumwa wa nchi CHADEMA imeukomeshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom